strong woman
Senior Member
- Jul 11, 2013
- 131
- 37
tujadili kuhusu mazingira ya shule, uwepo wa walimu wa kutisha/ hata kama hawatoshi, usalama wa watoto wetu wawapo huko! hali ya hewa nk.
Habari,
Naitwa ZABRON AMON mhitimu wa kidato cha nne shule ya MOYOWOSI SEKONDARI.
Nimepangiwa shule ya MALAGARASI SEKONDARI inayopatikana hapahapa wilayani Kibondo.
Kwa wenzangu wote mliobahatika kupangiwa shule nawapeni hongera sana.
Kwa maelezo hayo namaanisha kuwa nimepangiwa shule ya wilayani kwangu kwa hiyo, kwa kiasi fulani, ninao uzoefu kidogo kuhusu shule hiyo
hivyo basi; kama kuna mwenzangu ambaye amepata Bahati ya kuchaguliwa shule hii (Malagarasi) au shule yoyote katika wilaya ya kibondo, ningeomba a-reply post hii anieleze kisha nimpe machache juu ya shule hii (hizi)
Au iwapo kuna hata mmoja wetu aliyesoma au anayesomea shule hii (A-LEVEL) Ningeomba mawasiliano yake kama hatojali.
Watanzania wote ni ndugu, Karibuni tuudumishe mshikamano
Mwenye kutaka kujua details za shule ya Mkolani High School na Tabora Boys High School aniquote hapa nitatoa maelezo na maelekezo
Karibu
Oi wadau mimi nimechaguliwa kwenda MIST chuo kipo arusha je kunamwingine na yeye kachaguliwa huko