Mwanafunzi afariki akitekeleza adhabu ya mwalimu

Siku hizi shule zimekuwa kama magereza tuu hayo nimatukiao machache mnayoyapata kuna mengi sana yanafichwa sikuhizi wototo wanaadhibiwa kwa makosa ya wazazi wao kunamtoto alivunjwa mkono kwa ajili ya mchango wa majalibio sh 200 shule za shinyanga mjini zimekuwa kama zinafanya biashara na mkurugenzi na jopo lake wapo kimya
 
Imagine dogo KATIKA home mzima wa afya Kisha baadae unaletewa taarifa kwamba amefariki kama mzazi sijui utakuwa kwenye Hali gani
 
Mwanza kila sehemu pana mawe hata nyumba nyingine kuna mawe makubwa ndani ila always tunaamini yapo stable
 
Mimi sio mwalimu lakin ningekuwa mwalimu zaidi ningependelea adhabu ya assignment kwa mtoto , mpe mtoto topic apresent hata wiki mbili mfululizo hii itamuweka bize na kumuongezea uelewa.Walimu achaneni na adhabu za hovyo
 
Walimu wawe makini Sana.. sasa hivi wanafunzi wanaanza shule wakiwa wadogo sana .waangalie hizi adhabu wanazowapa.
 
Headmistress,secondmistress wangu bwiru girls poleni kwa kweli
Poleni wafiwa wote sijui walimu mtafanyaje maana msonde kawakalia kooni na mikataba juu anataka mtoto ajifunze kingereza kwa miezi miwili
 
Back
Top Bottom