Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Unavyo nikeraga, utakuta ile bastola imetumika kwa mwili wangu siku moja.
chanzo?
chanzo?
Unavyo nikeraga, utakuta ile bastola imetumika kwa mwili wangu siku moja.
"Usabi!!!!!!!!"........Mura amang'ana??!!!
hamaiya!!!!!!!!!!
Nchi hii wasomi ni taaabu kweli kweli hata vioja vya pwagu siku zile haikuwa hivi ....wasomi wetu unaanzisha kiwanda hata hujui umeme na material yatapatikana wapi.....
#2nd Year L.LB. UDSM wamesitisha vipindi kwa sasa
#kajinyongea mtini kwenye vichaka maarufu vya Yombo, karibu na Yombo 4.
#Classmates wake wanashangaa kwa sababu kwanza, marehemu alikuwa anasoma kwa bidii, na isitoshe matokeo ya Semester 1 ya Kitivo cha Sheria hayajatoka.
#Niliozungumza nao wanadai hakuwa na mpenzi darasani[labda alikuwa naye wa siri siri, u never know]
Roho za mauti twazikataa kwa jina la Yesu.
Periodaende anapo stahili tu!
![]()
captation za eneo la tukio, mwili ulipokua unashushwa!
ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu sheria, marehemu alikua mtu wa watu sana, jina lake ni Samsoni Njerekela.
ameacha ujumbe "asisumbuliwe mtu yeyote kwani nimefanya hivi kwa maamuzi yangu mwenyewe pia nizikwe kwetu''