Mwanafuni UDSM ajinyonga leo asubuhi

Mwanafuni UDSM ajinyonga leo asubuhi

...watu wanaharakia mauti!...alazwe panapostahili
 
itabidi wachinje mbuzi na matambiko ya hali ya juu kwani hii laana ishawaingilia katika ukoo wao..

RIP Sai Njelekera..
 
#2nd Year L.LB. UDSM wamesitisha vipindi kwa sasa

#kajinyongea mtini kwenye vichaka maarufu vya Yombo, karibu na Yombo 4.

#Classmates wake wanashangaa kwa sababu kwanza, marehemu alikuwa anasoma kwa bidii, na isitoshe matokeo ya Semester 1 ya Kitivo cha Sheria hayajatoka.

#Niliozungumza nao wanadai hakuwa na mpenzi darasani[labda alikuwa naye wa siri siri, u never know]
 
inashangza sana, anadai mtu asisumbuliwe halafu anatoa order azikwe kwao
 
Mungu akurehemu Njelekela, kama hatujakosea hawa kinanjelekela wanaweza kuwa wanatoka jirani na kizazi kile cha kina MUTWA WA VAHEHE, mwakajana tu walikuwa mkoa mmoja na sasa wapo mkoa mpya. Poleni wanyasa wa huko Ludewa
 
"Wahehe tumekuwa wengi!!!!!!!"

"Wahehe tumekuwa wengi!!!!!!!"

Actually ni MHEHE, mwili umeninginia for hour wide open, umeshushwa around 12:00pm! Rip!! Plus jamaa alikua mwana Ilboru
attachment.php

attachment.php
 
Actually ni MHEHE, mwili umeninginia for hour wide open, umeshushwa around 12:00pm! Rip!! Plus jamaa alikua mwana Ilboru
attachment.php

attachment.php

attachment.php

captation za eneo la tukio, mwili ulipokua unashushwa!
 
" Halafu watakuja watu humu wataanza kumsingizia MUNGU kuwa ni mapenzi yake....!:nono::nono:
Eti bwana ametoa na mwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe.
Wakati yeye kaandika ni maamuzi yake mwenyewe

afadhali umeweka mapema maana dhambi za binadam sidhani kama zinazidi visingizio anavyopewa MUNGU.
 
Back
Top Bottom