Mwanafuni UDSM ajinyonga leo asubuhi

Mwanafuni UDSM ajinyonga leo asubuhi

Sasa sijui inakuaje maana juzi mwanasheria kajirusha kutoka ghorofani, Leo mwanafunzi wa sheria kajiua (sijui kwa njia gani) Huku kwenye sheria kumekumbwa na nini..........!
R.I.P marehemu wote.......!:dizzy:
 
ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu sheria, marehemu alikua mtu wa watu sana, jina lake ni Samsoni Njerekela.
ameacha ujumbe "asisumbuliwe mtu yeyote kwani nimefanya hivi kwa maamuzi yangu mwenyewe pia nizikwe kwetu''


" Halafu watakuja watu humu wataanza kumsingizia MUNGU kuwa ni mapenzi yake....!:nono::nono:
Eti bwana ametoa na mwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe.
Wakati yeye kaandika ni maamuzi yake mwenyewe
 
taifa la wasomi kuchukua maamuzi magumu ya kutoa uhai wao bila hata hurumajaman jina lake SAMSON hajui asili ya jina hilo ni ukombozi ama nae alizidiwa mapenzi na DELILA???R.I.P MWANASHERIA
 
Running away from the problem is not a way to solve it.
 
Mbona zamani haya mambo sikuwahi kuyasikia???ilikuwa ni kabila furani tu..miaka hii hujuhi msomi ni yupi na hasiye msomi ni yupi ???the best solution to cover stress is by talking!!!ukikaa nalo litakuumiza sana
 
Marehemu ana kesi ya kujibu mbele ya Mwenyenzi Mungu, ni kesi ya kuuwa kwa kukusudia!! R.I.P Samsoni....
 
Mungu aniepushie lakini uamuzi wa kujiua ni uamuzi mzito sana aisee no matter what you are going through!!
 
nimekerwa sana na hili huyu jamaa hajui kabsa maana ya jina lake, watu wenye haya majina huwa wanatoa uhai wao kuokoa mamilion na maadui zao na sio kuwakimbia maadui. Yan kwa upande wangu hastahili R.I.P labda kumwambia "kufa uende we mburula"
 
Mkuu mbona unaandika huku unatetemeka? Mara kidato cha pili, mara MWANAFUNI, mara hakijajulikanya sijui unachanganya na kilugha chenu humo?

Hebu tulia utueleweshe basi!! R.I.P marehemu!!

khaa, yan kiukwel nimecheka sna japo roho inaniuma kumpoteza msomi. R.i.p.
We mleta mada 2lia kwanza na pole kwa msiba
 
Back
Top Bottom