Mwanafuni UDSM ajinyonga leo asubuhi

Mwanafuni UDSM ajinyonga leo asubuhi

Hii ndo shida ya watu wengi! Mtu unajitoa uhai, kisha una command watu wakuzike unapotaka marehemu hii ni haki kweli?
Shangaa hapo..kama alitaka kuzikwa kwao alishindwa nini kupanda basi mpaka bush kwao akajinyongea huko?? kwa nini asumbue watu??...ana bahati sio ndugu yangu,,,hapa angelazwa kinondoni tu....
 
dogo alikuwa mjasiriamali mzuri tu, sasa mateja wakamtaim kule mjini akiwa na kifuko cha pesa alikuwa kaenda kuchukua mzigo. wakampulizia madawa wakakomba kila kitu....jamaa akawa frustrated sana, akaamua kunywa sumu ya panya lakini wenzake wakamuwahi. baada ya kutoka hospitali, kabla hata hajapata ushauri, ndo akaamua kujimaliza!
 
Shule ya sheria mlimani ni stress sana,hapo demu bado hajakuzingua,bodi mkopo nao haueleweki,halafu prof Majamba anakuambia umwandikie assignment page 20.
 
Hapa CHASO haijapata pigo kweli?
Enewei RIP kijana mwenzangu....
 
dogo alikuwa mjasiriamali mzuri tu, sasa mateja wakamtaim kule mjini akiwa na kifuko cha pesa alikuwa kaenda kuchukua mzigo. wakampulizia madawa wakakomba kila kitu....jamaa akawa frustrated sana, akaamua kunywa sumu ya panya lakini wenzake wakamuwahi. baada ya kutoka hospitali, kabla hata hajapata ushauri, ndo akaamua kujimaliza!
Hii story unaweza kukuta ina ukweli hawa wanafunzi wa siku hizi huwa wana vibiashara na mikopo kila mahali, sasa kama walimchapa tuhela twake anakojisomeshe aliona uamuzi ni huo REST IN PEACE NJELEKELA kwani MUNGU aliona juhudi zako za kupigana ili uuondoe Umaskini
 
Ee M.Mungu nakushukuru kwa kunipa courage kuhandle matatizo ya namna hii.
 
When going gets tough, tough gets on going.

REST IN PEACE LATE SAMSON.
 
Shangaa hapo..kama alitaka kuzikwa kwao alishindwa nini kupanda basi mpaka bush kwao akajinyongea huko?? kwa nini asumbue watu??...ana bahati sio ndugu yangu,,,hapa angelazwa kinondoni tu....

Ni kweli mkuu.huyu apelekwe Makaburi ya mburahati tu atazikwa vizuri.
 
dogo alikuwa mjasiriamali mzuri tu, sasa mateja wakamtaim kule mjini akiwa na kifuko cha pesa alikuwa kaenda kuchukua mzigo. wakampulizia madawa wakakomba kila kitu....jamaa akawa frustrated sana, akaamua kunywa sumu ya panya lakini wenzake wakamuwahi. baada ya kutoka hospitali, kabla hata hajapata ushauri, ndo akaamua kujimaliza!

Marehemu alikuwa na sikio la kufa ......!
 
cha msingi hapa ni kutafuta tu sababu ya yeye kujinyonga ili tulio hai tuelimishane ili tusipitie njia aliyopitia marehemu,tusipende sana kuhukumu au kulazimisha uongo uwe kweli,tuache uvivu na tutafute nini chanzo cha vijana wengi kujinyonga? kesho inaweza kuwa zamu yako bila kujijua
 
Ee M.Mungu nakushukuru kwa kunipa courage kuhandle matatizo ya namna hii.

Yepi hayo mkuu....? Kwasababu mpaka sasa tunasikia speculation za kifo cha marehemu, hakuna anayejua marehemu ameji-RIP kwa ajili gani...
 
cha msingi hapa ni kutafuta tu sababu ya yeye kujinyonga ili tulio hai tuelimishane ili tusipitie njia aliyopitia marehemu,tusipende sana kuhukumu au kulazimisha uongo uwe kweli,tuache uvivu na tutafute nini chanzo cha vijana wengi kujinyonga? kesho inaweza kuwa zamu yako bila kujijua

Hivi unaweza ukajinyonga bila kujijua ehh!!!
 
Back
Top Bottom