Mwanafuni UDSM ajinyonga leo asubuhi

Mwanafuni UDSM ajinyonga leo asubuhi

Chanzo hakjajulkanya but nitakuja na more updates

=========================

quote_icon.png
By Leonard Robert

ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu sheria, marehemu alikua mtu wa watu sana, jina lake ni Samsoni Njerekela.
ameacha ujumbe "asisumbuliwe mtu yeyote kwani nimefanya hivi kwa maamuzi yangu mwenyewe pia nizikwe kwetu''
Wamehakikisha huo mwandiko ni wake? Isije ikawa watu wamemtundika.
Kuna mmoja alikutwa amekufa na kamba shingoni amefungwa kwenye mti ambapo urefu wa kamba+urefu wa marehemu unazidi urefu wa mti.
 
ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu sheria, marehemu alikua mtu wa watu sana, jina lake ni Samsoni Njerekela.
ameacha ujumbe "asisumbuliwe mtu yeyote kwani nimefanya hivi kwa maamuzi yangu mwenyewe pia nizikwe kwetu''
Unatoa taarifa km kwenye gazeti la udaku jina si lenyewe na wala mwaka si wenyewe tafuta taarifa vizuri avha kukurupuka ili mradi na ww tukuone
 
Nyambafuuu... Tangu lini mwanaume akajinyonga? Mungu amweke popote patakapomfaa!

Wanaume ndio wanaongoza kwa.kujinyonga tokea nianze kusikia taarufa za watu kujinyonga wanaume ni wengi zaidi
 
Whaaaat!!! Nyie wanachuo hivyo ndivyo kutekeleza ushauri wa Mhe. Lowassa aliposema 'Watanzania tuache kulalamika..tuchukue maamuzi magumu'.!!!!
 
  • Thanks
Reactions: awp
Nyambafuuu... Tangu lini mwanaume akajinyonga? Mungu amweke popote patakapomfaa!

mkuu kwa hiyo wanaojinga wote ni wanawake? mwanaume akijinyonga tunamwita?
au uanaume na uanamke tunaupa kwa vitu zaidi ya muonekano wa kimaumbile?
utakuwa una gender steriotype.

mungu aweke roho ya marehemu mahali anapostahili amina.
 
ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu sheria, marehemu alikua mtu wa watu sana, jina lake ni Samsoni Njerekela.
ameacha ujumbe "asisumbuliwe mtu yeyote kwani nimefanya hivi kwa maamuzi yangu mwenyewe pia nizikwe kwetu''

Duh, ''maamuzi yangu mwenyewe''.....
 
pengine tungesubiri taarifa kamili za sababu zilizopelekea, ndio tuanze kusema mengi sana. kwa sasa tutakuwa tunakisia kisia.
 
Yepi hayo mkuu....? Kwasababu mpaka sasa tunasikia speculation za kifo cha marehemu, hakuna anayejua marehemu ameji-RIP kwa ajili gani...

Mkuu matatizo yanayotokana na msongo wa mawazo,iwe ni kweli jamaa ameachwa na gf wake au maisha yamemuwia magumu kama inavyosemekana.
 
Utoe uhai kwajili ya mapenzi? Utakua una matatzi ya akili. Ukiachwa si ndo umepewa nafasi nyingine yakutafuta chombo kipya?
 
Amejitetea kuwa yeye ni
Yeye ni msafisha majengo,mabweni,maofisi tu. Kufuta ujinga haikuwa katika ratiba yake.
Majuto mperungu, asante kwa taarifa.

Sio kuwa yeye ni mfanya usafi ndiyo anakosea kuandika,mbona post ya kusema mwanafunzi wa kidato cha pili aliisahihisha akaandika mwanafunzi wa mwaka wa pili.
 
jinsia qan na nn chanzo, basi fanya kusakasaka updates utuzuje mkuu...

haahaaaa UUNATAKA KUMRITHI ALIEMWACHA ‎؛‎;;;CHANZO NI KIFO BANA MENGINE WAACHIEN NDUGU ZAKE
 
Back
Top Bottom