Mwanae hanitaki kabisa, nifanyeje?

Sikujua kwamba things fall apart ilishatukumba siku nyingi.

Hivi mtu unaingiaje kwa room yako kulala huku ukijua kuna jamaa anamzini mamako? Yaani sielewi kabisa!
 
Nyumba unayoishi ni Mali ya nani?! Ungekuwa kwenye mji wako unaoumiliki kamwe usingeletewa dharau .. Inaonekana una vimelea vya umariooo....hama kapange kwako aje akuchokoze kwako. Usiwe kiazi
 
Wewe ukoje? Hivi mtu kumzini mamako mbele huioni kama sababu tosha ya kuondoa shingo ya mtu?

Aisee tumetofautiana sana kuwaza yani mi naona kijana yupo right asilimia 100, anatakiwa amtandike kabisa huyo kibuzi wa mama
 
Aisee tumetofautiana sana kuwaza yani mi naona kijana yupo right asilimia 100, anatakiwa amtandike kabisa huyo kibuzi wa mama

Unaongelea kutandika? Mie namaliza udhia kabisa. Ni dharau kubwa sana mtu kumkula mamako mbele yako aisee.

Bora nife kwanza.
 
Sikujua kwamba things fall apart ilishatukumba siku nyingi.

Hivi mtu unaingiaje kwa room yako kulala huku ukijua kuna jamaa anamzini mamako? Yaani sielewi kabisa!

Yani huu ujinga mie hapana, bi mkubwa akiamua kuwa na msela ni sawa ila wakamalizane mbali huko sio kumleta nyumbani
 
Unaongelea kutandika? Mie namaliza udhia kabisa. Ni dharau kubwa sana mtu kumkula mamako mbele yako aisee.

Bora nife kwanza.

Ha ha ha inabidi akitoka humo ndani awe kwenye ambulance ataenda kuzindukia ICU
 
Anyways. Maisha binafsi but.
Sasa huyo kijana atamla mama yake?
Mengi Reginald na k mnamsifia. Au kwa kuwa ana chapaa

Yani upo chumbani kitanda kinalia kwichi Kwichi mwanao kakaa sebleni huoni aibu mama??? Ukitoka hapo upo comfortable kabisa??? Chinekeeeeee
 
Tena mwambie wazi wazi, kwamba wewe unampatia dudu mamake!kama yeye anaona hiyo sio kazi basi yeye ampe mamake.
 
Huu sasa uchuro. Mtoto wa kiume anashangilia kutunzwa kama kid.

Shame on you!
 
We una mambo ya ajabu sana hivi wewe na umri huo utakubali mama yako afanye umalaya mbele yako tena ndani kama huyo mama anakupenda na uwezo anao akupangie chumba acha ubongo lala wewe na muunga mkono dogo akupasue kichwa tu,
 
Yaani ndio umerudi kuandika pu.mba kabisa unatia aibu hata sijamaliza kukusoma

Unawivu na mtoto wa huyo mama kwanini wewe usiende kuishi kwa wazazi wako unaenda kusaka mali za huyo mama

Inaelekea hautaki kutoka naomba Mungu wasome post zako hizi kabisa...
 
Umefaya mali unatia aibi hilooooo

Unatuletea hasira humu eeeh tamaa ya pesa imekujaa na utaisoma namba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…