Mwanae hanitaki kabisa, nifanyeje?

Mwanae hanitaki kabisa, nifanyeje?

Huyo kijana naye -----......

Usingeweza kutembea na mama yangu mbele yangu aisee....

Nani anapenda watu (ambao siyo baba) wamzini mama yake??

Over my dead body!
 
Ha ha ha hata kuendesha gari aendeshe tu ikibidi avae na madera ya huyo maza dah part inayoleta hasira ni msela kuhamia hapo nyumbani yani nnavojisikia hasira utadhani sheikh kahamia kwetu lol
Kwanza huyo Kijana wachuo kwa hasira anatakiwa Kuondoka hapo...kuendelea kukaa hapo ni kuendelea kudhalilishwa...

Watu wanatakiwa kujua pamoja na uhuru walio nao wazazi lakini Mama kumleta mtu ndani tena ka kijana ni Fedheha kwa watoto na huwaharibu kabisa Kisaikolojia najaribu kufikiri hali ya Kichwa aliyo nayo huyo kijana sipati na bado naona ana moyo sana tena sana na ni ngumu kuvaa viatu vyake....
 
Ta Rutta bwana, naomba tukubaliane bila kutafuna maneno. Kuna watu 3 ambao ni ngumu sana kushuhudia matendo ya kingono yakifanyika kwao halafu ukabaki salama kisaikolojia.

1. Mke

2. Mama

3. Dada (akiwa bado hajaolewa na mwanamume ukiwa bado una umri mdogo)!

Huyo mama kafanya kosa kubwa ila huyo kijana naye hana testosterone ya kutosha.

Anyway, ngoja nisiongee sana ila wameniudhi sana hawa jamaa!
 
sijui nikuulizeje juu ya izo maaandishi rangi nyekundu

muulize hivi " je mategemeo yako ni nini katika hayo mapenzi na huyo mama yake ambaye angeweza hata kumzaa? au unataka kulelewa? na pia mshauri atafute msichana mdogo aoe akaanzishe familia yako umarioo ni upuuzi"
 
Kama unaakili hama hapo nyumbani.tena hata usipendele kuendesha gari ya huyo mama.Sisi wanaume tuna wivu sana na mama na wake zetu.mnaeza kuendelea na hayo mapenzi yenu mbali na nyumbani.unamtesa huyo mwanaume kisaikolojia
 
Kikubwa jitahidini kujishughulisha uwe na "pesa /PAKEE, SABUNI ya roho". Kwa sasa wengi wanakuchukulia kama "Mario" hata kama mapenzi yenu ni ya kweli.
 
Kama unaakili hama hapo nyumbani.tena hata usipendele kuendesha gari ya huyo mama.Sisi wanaume tuna wivu sana na mama na wake zetu.mnaeza kuendelea na hayo mapenzi yenu mbali na nyumbani.unamtesa huyo mwanaume kisaikolojia

Huyu mpenzi wangu hataki niondoke, nilileta ombi hilo baada ya ugomvi mkubwa ndani kati ya kijana na mama yake, lakini hata hivyo mama alikua tayari kumfikuza huyo kijana home, nikaingilia kati na kumuomba asifanye hivyo

Nashindwa kuelewa tatizo la huyu kijana ni nini hasa?
 
Ondoka hpo nyumbani ni vyema ukapanga nyumba yako kubwa ili huyo bimkubwa awe anakuja lakini sio wewe kiajan kwenda kukaa kwenye nyumba ya mwanamke pasipo kujali
Unawakera wanae unakuwaje na ujasiri wa kutumia vitu vya huyo mama kwa uhuru wote kweli unahitaji kukombolewa ufahamu wako shekh!
 
muulize hivi " je mategemeo yako ni nini katika hayo mapenzi na huyo mama yake ambaye angeweza hata kumzaa? au unataka kulelewa? na pia mshauri atafute msichana mdogo aoe akaanzishe familia yako umarioo ni upuuzi"
nasubiri anipe mawasiliano ya kijana ushauri nimpe kijana maana huyu ni zuzu hataelewa
 
Kwanza huyo Kijana wachuo kwa hasira anatakiwa Kuondoka hapo...kuendelea kukaa hapo ni kuendelea kudhalilishwa...

Watu wanatakiwa kujua pamoja na uhuru walio nao wazazi lakini Mama kumleta mtu ndani tena ka kijana ni Fedheha kwa watoto na huwaharibu kabisa Kisaikolojia najaribu kufikiri hali ya Kichwa aliyo nayo huyo kijana sipati na bado naona ana moyo sana tena sana na ni ngumu kuvaa viatu vyake....

Kama yupo chuo atahamaje sasa nyumbani labda hata kazi hana, yani ampishe huyu sheik kipozeo?!
 
Mkuu;
Kama uliuliza ufanyeje!! Fanya hivi, rudi kwenye duka lako la madawa fweki, ujitafutie kidogo lakini chako. Kalale kule gheto kwako. Hama fasta toka kwenye nyumba ya huyo dogoo. Hutaki, mwaka huu humalizi na uhai wako. Dogoo unamtafutia mada kesi bureee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom