TANZIA Mwanadada Azra Ronaldo akutwa amefariki chumbani kwake

TANZIA Mwanadada Azra Ronaldo akutwa amefariki chumbani kwake

Dah ,Azea umetutoka dah,hili pengo kwa watu wa Football freestyle

Nakumbuka tulikutana Nairobi unaenda kuwakilisha Nchi na kurudi na Ushindi ,Dah
 
Hadhar a.k.a Aza Ronalndo, Rais Trump mwenyewe alikupost na kukusifia ktk akaunti yake enzi zako.R.I.P my Sister
 
Hapa ndipo ninaona kuwa na mwenza permanent Hata kama hamuishi pamoja lakini lazima mjuliane hali ikipita siku nzima Kuna uapande utakuwa na wasiwasi kwanini hajanitafuta Leo
 
Alale mahala pema peponi.
Sijamuona muda, miaka imeenda alishakuwa mdada.
 
Jamani majirani asubuhi tusalimiane tujuliane hali mtu mpaka anaoza ndani jamani, majirani hawajiulizi yuko wapi?
Kama ilipangwa afie ndani hawo majirani hakuna ambacho wangeweza kufanya asifie ndani.
 
Back
Top Bottom