PreGE2025 Mwanachama wa CCM ahamia CHADEMA, atema cheche balaa mbele ya John Heche

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
ccm haiwezi kua na mwanachama lofa kama huyo gentleman, :pedroP:

mtengeneza script wa hiyo drama amefanya mistakes nyingi sana za sanaa kwenye hii drama my friend:pulpTRAVOLTA:
Nina hakika, Huyu Bidada Kwa namna nilivyouchambua Uwezo wake wa akili Kwa Hotuba yake fupi yenye mpangilio Bora, huyu Dada vyeti vyake vina A za kutosha, na wewe kama umeenda Sanaa vyako vina C .

Kichwa Cha huyu Dada ilikua ni makosa kuendelea kua Ndani ya Chama chenye wajinga yaan CCM
 
Ni jambo jema. Kila mmoja ana haki ya kuhama na kuhamia chama anachotaka.

Amandla...
 
Nina hakika, Huyu Bidada Kwa namna nilivyouchambua Uwezo wake wa akili Kwa Hotuba yake fupi yenye mpangilio Bora, huyu Dada vyeti vyake vina A za kutosha, na wewe kama umeenda Sanaa vyako vina C .

Kichwa Cha huyu Dada ilikua ni makosa kuendelea kua Ndani ya Chama chenye wajinga yaan CCM
uko sahihi gentleman,
kichwa cha huyo dada wa chadema hakiko sawa. kutumika kama ametoka ccm hali ya kua ni mwanachadema kindakindaki ni ulofa wa kiwango cha chini sana.

manadanganyana kindezi sana gentleman :pulpTRAVOLTA:
 
Grace Rwemamu ambaye aliwahi kugombea Ubunge wa Jumuiya ya Afrika mashariki mwaka 2017 leo ametangaza kukihama chama cha Mapinduzi CCM chama ambacho amekitumikia kwa miaka 15.

Grace amepokelewa mbele ya Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Taifa John Heche katika mkutano wa hadhara huko Nyamagana

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

View attachment 3332025
Sisi Wana CCM tunamtakia kila la heri Grace Rweyemamu katika maisha yake mapya ya kisiasa huko alikoenda. Ila akumbike kuwa sisi CCM hatuamini katika "kununuliwa" ila siku ukitoka huko, kuwa tayari kuyapokea matusi!!
 
uko sahihi gentleman,
kichwa cha huyo dada wa chadema hakiko sawa. kutumika kama ametoka ccm hali ya kua ni mwanachadema kindakindaki ni ulofa wa kiwango cha chini sana.

manadanganyana kindezi sana gentleman :pulpTRAVOLTA:
🤣CHADEMA , itafute kutumia MTU, imtafute yeye??.

Watu Sasa ndio wanaitafuta na kuifata CHADEMA.
 
Grace Rwemamu ambaye aliwahi kugombea Ubunge wa Jumuiya ya Afrika mashariki mwaka 2017 leo ametangaza kukihama chama cha Mapinduzi CCM chama ambacho amekitumikia kwa miaka 15.

Grace amepokelewa mbele ya Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Taifa John Heche katika mkutano wa hadhara huko Nyamagana

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

View attachment 3332025
Mheshimiwa john Wegesa Heche na timu yako yenye ujasiri isiyoyumbishwa na inayotamani mabadiliko ya ya ukombozi kwa umma, piga spana kali hapo Mwanza, Mara, Geita, Shiyanga, Kagera, na Simiyu nakuhakikishia kuna wana CCM wengi watabwaga manyanga yao na kuhamia CDM kwa ajili ya kuijenga nchi.
 
Back
Top Bottom