Mwana Mama na Masaburi.

daaah muwe na adabu huyu mama ni mke wa referee wangu jamani...
 
Lahh, nimenawa mikono kabisa.

Ndugu Meya wa Jiji, Didas Masaburi, hili limeshakuwa neno la Kiswahili haswa.

Ila nafikiri tofauti kidogo na neno Makalio, hili linatumika zaidi unaposema mtu anafikiri kwa kutumia Makalio.

Badala ya kusema "Anatumia Makalio" basi sasa watu wanasema "Anatumia Masaburi."

Ila katika mazingira ya kawaida, nafikiri Makalio, Kipengule, Nyungu, Kishtobe, Wowowo, Trailer, (Masoko kwa Kilingala) nk itabaki kuwa na maana hiyohiyo ambayo kwa miaka mingi, wote tunafahamu.

Kweli Kiswahili kimekuwa kwa msamiati/neno moja zaidi.

Hahahaa, Wabunge walitumia Masaburi kuandika Mswaada mbovu wa katiba......... Something like that?
 
haa!!kumbe ndio haya...nimeyaona mkuu.
 
Nafahamu hilo. Lengo ilikuwa kuona watu kiasi gani watafungua wakitegemea kumuona Mwana Mama mwenye Masaburi?!?!

Utafikiri kuna Mwana mama/baba asiye na masaburi.

Hii topic kuanzia mwanzo imekaa ki-udaku udaku tu na ndiyo lilikuwa lengo hasa ili watu waache kutumia neno Masaburi wakimaanisha Makalio. Ila naona limeshashindikiana na limeshakuwa neno la Kiswahili. Kufikiri kwa kutumia Masaburi 🙂
Ulitakiwa kufuata protocol MASABURI na MWANAMAMA ndio kiswahili fasaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…