Mwana JF share weakness yako

wezeleeeee jamani miee ugonjwa wangu huooo
 
So mama yako huamini kama ndiye alikuzaa au?
 
Yaani hata sijui nikwambieje,thats my bigest weakness na inanitesa 6yrs in marriage with 2 lovely kids, inanikwaza maana namkwaza mume wangu,i hate sex than anything,napenda rmance
I dont know how to get rid of this
May be you should try food which increases libido.good examples are afrodidiacs.
 
Duh! Yaani kweli daktari kakufanyia hivyo.
 
Mkuu nilikuwa nafahamu kua udomo zege upo kwenye kutongaza tu
 
Mimi weakness yangu ni kuangalia porno,duh i need the some intervention to overcome it.
 
1: Napenda kuongea ukweli, kitendo hiki kimenifanya nisiwe na marafiki na pia nichukiwe na wengi coz watu wengi hawapendi kuambiwa ukweli, yani siwezi kufumbia macho jambo.

2: napenda mtu awe on time, nakuja saa 5 njoo, umechelewa hua siwezi kusubiri ajabu mimi napenda kusubiriwa, teh teh.

3: hua siruhusu Moyo wangu ukatawala Akili yangu,
Hali hii hufanya nisimuamini mtu yeyote.
 
1:Huruma.
2:Kupenda kuliko pitiliza nkiwa katika mahusiano.
3:Hali ya kujali wengine zaidi.
 
Brains
Boobs
Beauty
Booty

This letter "B"....
 
Udhaifu wangu yaan nikimfumania mpnz wang tu pale pale upendo unakata hata afanye nn cwez tena kumpa mapenz kama zaman
Nilidhani huwezi mpa mapenzi tena! Ila inauma sana!
 
Castle lager....an nkiiona had kaz haiwez kwenda...one of ma biggest weakness
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…