Mwana JF share weakness yako

Weakness yangu ni kutokuwa tayari kushauriwa.Napenda kufanya maamuzi peke yangu bila kushurutishwa.Mtu akijaribu kunishauri sii jambo la ajabu kuishia kwenye ugomvi na misuto.
 
kupenda kukaa mwenyewe, hata nibanwe vipi ntachomoka nikakae alone room.

sina cha maana zaid ya kucheza game na kuangalia muvi

pia napenda ngono balaa mpaka najishangaa.
 
Hasira aisee. Nina hasira kama za mkulu....nafanya maamuzi haraka na siogopi nini kitafuata. Sasa hivi naweza kudhibiti hasira kiasi fulani....kingine mimi ni "selective" sana. Ngumu kunizoea na sipendi kukutana na watu wengi....naona kama energy yangu na zao hazilingani. Bora nisome vitabu a whole day au ni work out lakini si kwenda kukutana na watu. Naona haya yote ni udhaifu kwa kiasi fulani.....lakini si kitu sana nafurahia maisha sana tu.
 
Hahaha loh huyo dr ni kilaza hakianani
 
upo kama mimi naamini mtu kumbe mengine mashetani kabisa
Ulifanywa nini dada yangu kibaya hivo hadi unaita wanaume mashetani?
Mimi pia nimewahi kufikian hiyo stage kuwaita wanawake mashetanu ila sasa hasira zimeisha.
 
Sina bahati ya wanawake warembo wenye chura kubwa.

Pia mimi ni mtu ambaye huwa nina hasira za karibu kupitiliza, kuna kipindi demu wangu aliniambia anaipenda nikamuacha mazima, mwingine alinichapa kibao cha sapraiz chumbani nlitaka nimwamdhibu ila nilimwacha.
Mwingine alijamba hamu ya ngono ikaishia hapo hapon nikaondoka zangu.\
Msichana akinisemesha mtaana kama sina mood ya ngono simjibu.
 
unakera
 
Nina hasira
Jeuri
Huruma
Vyote vinanipa majuto daily..... na

pia nina roho ngumu ya kutokusamehe haraka yaani nina kinyongo sana
kwanza nitakasirika nisipokwambia nakuwekea kinyongo na kisasi.......heh
Umenigeza nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…