Mwana JF mwenzetu, mango g.. hali yake si nzuri wakuu!

Mwana JF mwenzetu, mango g.. hali yake si nzuri wakuu!

Kwa bahati mbaya natumia tochi hayo makitu na mimi ni vitu viwili tofauti kwa kweli sina smart phone

Duh mkuu au uliniingiza town, si uko Toronto canada wewe? Na saiv ndio wanaamka!
 
Namtakia afya njema, arudi haraka katika uzima
 
mic u windo! NAKUPENDA

Jamani diha nimekumis more.. Ugonjwa wako umeathiri mpaka pm yangu.

  • A%20S-alert1.gif

 
Habari za sasa wakuu..

mwana MMU na JF kiujumla, bidada mango g,
hali yake si njema wakuu.. kuanzia usiku huu mida ya saa tatu, ameshikwa na homa, mpaka sasa anaugulia dawa.

Jamani tuchukueni muda huu kumtakia ugua pole..

Asanteni..

Pole bidada.
Kumbe mango g ni mdada?
 
Back
Top Bottom