Uchaguzi 2020 Mwana JF, be the first to know kuwa CCM ndio mshindi wa jumla wa Uchaguzi huu

Yani wizi wote ule hata haya hamna?
Wizi mna cha kuibiwa?
  1. Upinzani kwa uongo no. 1,
  2. fake news no. 1,
  3. majigambo no. 1,
  4. ugomvi no. 1,
  5. uchonganishi no. 1
Waliosimamia kura na waje hapa waseme kweli kwenye kuhesabu vote kama upinzani walikuwa na kura za kuibiwa AU kama kura zilizotangazwa ni tofauti na za kwenye vituo!
 
Kwanza kabisa nataka uelewe mimi sina chama na hivyo habari nzima za kuniita "upinzani" ni ujinga.

You have a one track mind. To you, anyone who is pointing out flaws on the system is "upinzani".
 
“Nikuteue kuwa Mkurugenzi halafu utangaze mshindi wa chama kingine”

Ihiiiiiii!

Amenukuliwa jamaa fulani akiyanena hayo!


Kwani ni kweli aliwahi kusema Mjomba ?
 
Uchaguzi ulikuwa wa haki na huru?

Umejibu hili?
Mkuu Kiranga, kwa vile wengi wanauzungumzia uchaguzi based on kilichotokea, mimi nimeanza kuuzungumzia zamani na matokeo ya uchaguzi wa 2020, niliishayajua tangu ile 2015 baada ya Jembe JPM, kuingia ulingoni.
Karibu pande hizi
P
 
Wanabodi, mimi ni miongoni mwa wana jf, tuliandika mengi kumhusu rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, hivyo kipindi hiki cha maombolezo, napitia baadhi ya mabandiko kwa ajili ya kumuaga rasmi.

Japo umetangulia, lakini kauli zako, maono yako na kile ulichokiamini, kitabaki na sisi Milele.
Sisi tulikupenda, lakini Mungu amekupenda zaidi.
Bwana Alitoa, Bwana Ametwaa, Jina Lake Lihimidiwe!.
Raha ya Milele Umpe Ee Bwana, na Mwanga wa Milele, Umuangazie, Apumzike kwa Amani...Amina x3.
RIP Dr. John Pombe Joseph Magufuli
Buriani ya kuonana...
Paskali
 
Kutambua na kuthamini umuhimu wa mtu ni uungwana. Nakuungana mkono kutoa pole kwa WaTanzania, Mjane na yeyote aliyeguswa naamini atajumuika pia kutoa pole.
 
Kwani 2020 kulikuwa na uchaguzi?
Uchaguzi wa 2020 mbona mimi niliisha uzungumza vizuri kabisa hapa, ama unataka nirudie kuongea?.

 P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…