Mwana FA v/s Lady Jay Dee....!!!

chopeko

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
1,527
Reaction score
1,112
Hivi katika hali ya kawaida kabisa huyu jamaa mwana FA anatafuta nini kwa dada yetu Jide? Jide mara ya kwanza show yake alipanga may 31 na mwana FA naye kapanga tarehe hiyo hiyo,waungwana tukasema labda imetokea hivyo tu kwa bahati mbaya!! Kutokana na kifo cha Ngwea....tarehe ikapangwa upya!! Sasa Jide kapanga tarehe 14 June eti na jamaa naye kapanga tarehe hiyo hiyo!!! Ana matatizo gani huyu jamaa asee!!!!! kama anatumiwa basi anatumiwa vibaya sana na anachemka...mwanaume mzima unashindana na mwanamke!!!!! Arrrrghhhhhhhh
 
I dont care abt anything ila kweli hat mm nashangaa MWANA FA kweli wa kumfanyia jide ivi??,jide alishirikian na fa kwenye ngoma nyingi kama alikufa kwa ngoma na watajuaje pamoj na msiache kuongea nyimbo ambazo jide ndo kazifanya ziwe hot cake,yaan fa unashindan na mwanamke????,dah unajishusha sana
 
seriously jamaa anachemka...ila kuna watu wanampampu tu sio yeye ni njaa zake nahisi!!!
 
Inabidi Jide arudishe nyuma au asogeze mbele siku ili mashabiki waone kibaraka wa majambazi wa mziki kinavyo tumika.
 

achana nae mliberali yule,we huoni alivyo alivyo si atakuwa sio riziki yule ndo maana kila anachoambiwa na ruge yeye yumo,halaf eti nae ni msomi wakati hata kujisimamia hawezi
 
Dj venture ni ndugu na Mwana FA, clouds wako nyuma

alikufa kwa ngoma,msiache kuongea zilimfanya FA akafeki Jide ni kati ya washkaji zake
 
Sasa ukisikia WANAUME KAMA MABINTI ndiyo hii sasa jamii ya huyu jamaa. Si nilisikia na Post-graduate Diploma toka Coventry University huyu mtu, hivi elimu yake imemsaidia kweli kama anakubali kutumiwa na wanaume wenzie kushindana na mwanamke? Nimemdharau sana huyu jamaa duh!
 

Una uhakika kwamba MwanaFA ni mwanaumee???? utaja uziwa mbuzi kwenye gunia ndugu yangu
!!!!
 
Kwa iyo siku iyo mnataka dar nzima ijae kwa jide?
point ni kwamba kwasababu wote wawili wameshashirikiana kwenye track kadhaa,kuachiana gap ingekuwa na maana kila mmoja kushiriki katika show ya mwenzake ,ili mashabiki wafeel uhalisia wa burudani katika track walizofanya pamoja.Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…