Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,094
Tukitoka hapo tunaendaa litingi hahahaha
km kama kawa km dawa
asa hv litingi haipo kitu makonde na maisha club
Tukitoka hapo tunaendaa litingi hahahaha
Hivi mkubwa ule ukumbi wao wa Blantyre bado upo pale maeneo ya mnarani.
Sema hana hela,sio makuu
mashabiki wa dimaond yaani hapa zile za harufu chafu zinawagonga pichu.
Sema hana hela,sio makuu
Mbona mie nawapenda wote kiba na domo? Hivi ukiwa unapenda mziki na sio mahaba nichinje, unaweza kumchukia mmoja ukampenda mwingine?
Hapa nimecoment tu kuchokoza,sema kweli mi hao wote nawakubali kwenye mziki sinaga team,wote sawa kwangu
bongo mazingira ya kuimba live magumu sana,mpaka utoke mishipa shingoni,wenzetu teknolojia inawasaidia,drums zikipigwa na magitaa rahisi kunata na mziki,halafu wanajua kutumia mic,bongo msanii akishika mic mpaka jasho anaipigia kelele akidhani hawamsikii,wakati ni ishu tu ya kuimba kawaidashow mbovu sijawahi kuona...inaimba cd .
blantyre imeuzwa pamejengwa open universities asa hivi yule mmiliki bwana ukimuona humjui kafulia mbayaa
Show inaanza saa nane, alikua anasubiri kujazilizilia watu.?Burudani inanza sasa Mfalme yuko jukwaani na Kibela.'dunia sio mbaya walimwengu ndio wabaya...
Haitatokea hata siku moja wewe # laki si pesa uone jambo la Alli Kiba ulifurahie..muulize mwenzio # Matumbo alikuwepo..naona bado mna machungu ya Fiesta Dar.
daah enzi zangu mda huu ndo tunaoga kudadadeki
makonde club ndo bado haijajengwa bado iko ya makuti
watu weweeeeeeeeeee
aisee ndo bass tena uzee huu
all the best wanaaaa
tukitoka hapo tulikua tunaenda maisha kumalizia upopoooooo
Uko ulikiwa ukifanza nn?
naona naanza weekend vizuri,akikuzingua i'm just here for you!Nimekuweka pending. Siku paw akinipiga chini i will be your cougar. Thawa eeh?
Huwa nashangaa sana sijui timu wema, timu kiba? Kila mtu anafanya yake. Relax and enjoy.
🙄🙄🙄🙄