Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,082
- 72,490
Haya sinaga mkanda kiunoni
Una ninii............
Haya sinaga mkanda kiunoni
Wewe mchokozi
Hahahahaha siwezi kwenda maana nilisha kerwa na show za wabongo fleva! Hata hivyo wana Mtwara wanampenda Kiba pia!
Una ninii............
Mi yako nafua kabisa huku nainusa
Ahhahahahah this is JF
Nenda jukwaa la wakubwa puliz sie wengine ni kina sitti mtemvu
hahahahahah loh
Mhhh watu kibaoo hapa aisee 'pamenoga' bado show haijaanza
Nipo hapa makonde ila naona bado hapaja changamka labda nivumilie kama lisaa tena labda nitajua Leo kuna msanii kaja maana kwa sisi wapenda club tunajua cku zote makonde inavo kuwa lakin wale walio kuja kumuona kiba tu waludi makwao huko kama vile wale wa mikindan, mnaz 1, msijute, mdenga,magomen naliendele ndo wanahisi eti pamefurika kiukweli bado pako kama club ya kawaida tofauti ni kwamba kuna raia wapya sana hapa hawajawai kuijua makonde
Ndio naingia lakini sioni hao watu wengi...alafu watu hawanukii cjui wana matatizo gani
Ndio naingia lakini sioni hao watu wengi...alafu watu hawanukii cjui wana matatizo gani
Yule mjanja wa Dar es salaam,namzungumzia Alli Kiba usiku wa leo anafanya onyesho kubwa hapa Mtwara katika club ya Makonde Royal...daah shangwe zimeshaanza yaani hadi raha.Karibuni.
Huyu jamaa yaani yuko kawaida sana hana makuu..kavaa kawaida tu