Mwana Dar es salaam ndani ya Mtwara

Mwana Dar es salaam ndani ya Mtwara

Dinazarde jamaa kanichekesha sana aisee nilitaka niende kwenye hii show lakini nimekata tamaa toka nipate usumbufu kwenye show hile ya Diamond hapo Makonde beach sina hamu nilikerwa sana.

Wasanii wetu wana mtindo wa kuchelewa kuanza kuimba yani nilikereka nusu niondoke lakini nikawa naione huruma hela yangu niliyo lipa kwakweli Diamond alijaza kishenzi yani sijapata kuona lakini kwa nilivyo ona wana Mtwara wana mpenda Kiba pia pengine nae anaweza vunja record ya pale!

Nenda tu mkuu ukajazejazee tusijeaibika halaf hasira tuzimaliziee jf si unajua timu...... walivyo na hasiraaa
 
Last edited by a moderator:
daah enzi zangu mda huu ndo tunaoga kudadadeki
makonde club ndo bado haijajengwa bado iko ya makuti
watu weweeeeeeeeeee
aisee ndo bass tena uzee huu
all the best wanaaaa
tukitoka hapo tulikua tunaenda maisha kumalizia upopoooooo
Tukitoka hapo tunaenda litingi hahahaha
 
Nenda tu mkuu ukajazejazee tusijeaibika halaf hasira tuzimaliziee jf si unajua timu...... walivyo na hasiraaa
Wewe mchokozi
Hahahahaha siwezi kwenda maana nilisha kerwa na show za wabongo fleva! Hata hivyo wana Mtwara wanampenda Kiba pia!
 
Back
Top Bottom