Nifah
Platinum Member
- Feb 12, 2014
- 34,417
- 82,370
Bwana kiba leo anapiga show ndani ya Masasi ndani ya Kibo
Haya ndio mambo tunayotaka kuyasikia bwana
Bwana kiba leo anapiga show ndani ya Masasi ndani ya Kibo
Haya ndio mambo tunayotaka kuyasikia bwana
wamempokea leo kazunguka mitaani na msafara mkubwa wa magari na pikipiki
Nimekuitika kaka:
1. Shkamoo kaka
2. Habari za siku tele?
3. Nimekumisi sana
unashangaa tena?!!
Asante nimekumiss sana....yaani hadi naumwa😀
Ndio ivo kama sikuamini amini hivi
sure nimepiga kazi kule kwa mda ndo nkahamia dar
Wee nimisi hadi ukianza kulia ntajitokeza. Ila wifi ndo nimemmiss zaidi. Unapotea sana kaka i hope soon unakuwa balozi wa heshima syria tukapige dili za mabomu.