Jamani povu la nini. Mwenyewe kawashauri wadada, sisi wakaka povu la nini? Mambo ya Ngoswe waachieni akina Ngoswe.
hivi ni akina nani jamani wenye hawa 'punda' hapa mjini?
dar raha, kidogo tu, we milionea!!
si huyu ndiye anasemekana kuuza k yake ili bro wake jan apate pesa ya kampeni 2010?
Hapa hakuna cha wadada wala wakaka.
Kawaambia wadada kuwa na buzi poa, mabuzi yenyewe ni kina nani sasa kama si wanaume?
Wanaume wakikataa kufanywa mabuzi utasemaje hizi ni habari za wadada tu?
Wateja wa anakofanyia kazi (Vodacom) supposedly "Business Performance Partner: Corporate Affairs for Vodacom International Business" wakikerwa na kauli hii na kutegemea standards za juu zaidi za professionalism utasemaje kwamba hili ni suala la wadada tu?
Afrika tunaangamia kwa UKIMWI, huyu anahalalisha mabuzi, wanaopiga vita UKIMWI tukikasirishwa na kauli hii, utasemaje inawahusu wadada tu?
Sista bana! kisa leo nasherehekea birthday ya best friend wangu denzel hayes washington jr basi ndo unaona uniulize hilisamahani Excel huu mwezi gani. mchanga au pevu?
Kuna uzi uliwekwa hapa wa jinsi wanavyoyaingiza hayo madude tumboni, nadhani aliuleta Dr MziziMkavu mie nilijionea shida kuusoma wote.
Kwani huo Unga katumwa na nani? ...
Na mbona kila kukicha wanakamatwa wasafirishaji tuu wenye mzigo wako wapi?!
Hiyo ni hadithi tu toka kwa bint Makamba,walau na yeye ajulikane ni mtt wa Mzee Jusufu.
mi bana sipendi suru!
kama ni vimino sawa!
suru haziko seductive bana!
haya yule waziri na mtumishi mwingine wa umma nendeni na huko china ili kuhakikisha jack anapata haki zake kama mlivyofanya kwa masogange na melisa huko south africa
Kinje anahusika sana na watu wanamuangalia tu jinsi anavyotumia vijana wa kileo kama chambo.
Vijana wengi kujihusisha na hii biashara ya kuwa punda wa kubebeshwa madawa ya kulevya ni matokeo ya serikali kushindwa kusimamia ukuaji wa uchumi halali!!! Laiti kama vijana wangeweza kupatiwa ajira kwa nchi kuwa na viwanda wasingejitumbukiza kwenye hizi shuhuri zinazohatarisha maisha yao!! Kutokameza janga hili lazima serikali iongozwe na wazalendo makini na sio viongozi wasanii!!
Vijana wengi kujihusisha na hii biashara ya kuwa punda wa kubebeshwa madawa ya kulevya ni matokeo ya serikali kushindwa kusimamia ukuaji wa uchumi halali!!! Laiti kama vijana wangeweza kupatiwa ajira kwa nchi kuwa na viwanda wasingejitumbukiza kwenye hizi shuhuri zinazohatarisha maisha yao!! Kutokameza janga hili lazima serikali iongozwe na wazalendo makini na sio viongozi wasanii!!
Sasa mtu kama kakataa shule...Serikali imsaidieje?
Kama mtu mvivu.....Serikali imsaidie vipi?
Kama hana akili hata ya kuanzisha biashara ya nyanya....Serikali isaidie kinamna gani?
Mabadiliko yaanze na akina sisi.
LETS CHANGE TANZANIA....
Hivi mwamvita ndo nani?