Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni kuonglea watu jamvini. Tabia mbaya hii. Pelekeni ujinga huu kwenye globs. Angekuwa kwenye politics may be ingekuwa valid kumwongelea lakini personal stuff, Naaaah..Stop discussing gossips! Remember JF is the home of great thinkers, unless JF has become the home of great yappers!
Ni kweli mkuu Chimunguru kwamba MD yule Jose Dos Santos aliondoka kwa kuhitilafiana na Rostam lakini tukio hasa lililofanya apewe 24hrs japo iliongezwa na kuwa 48hrs ni kitendo cha MD kumtukana aliyekuwa mwanasheria wa Vodacom enzi hizo Mh.William Mganga Ngeleja mbele ya Rostam baada ya Ngeleja kuchelewa kuingia kwenye Kikao cha Management na Local Shareholders (Rostam na Noni).Sababu ya Ngeleja kuchelewa kwenye kikao ni kwasababu alikuwa anapiga stori na Rostam ofisini kwa mwanasheria huyo ambayo ilikuwa pua na mdomo na Board Room enzi hizo ghorofa ya 14 pale PPF Tower. Kuhusu huyo Mwamvita pamoja na mambo mengine ni aggressive na pia kizungu chake kimenyoka na hiyo ni moja kati ya silaha kubwa ya kupanda vyeo haraka katika kampuni hizi multinationals.Sasa kama kuna issue ya uroda basi hiyo itakuwa ndiyo ile tunaita added advantage.duh Twisa tena? tatizo nasikia MD anakula pale so mapenzi ya kazini mwishowe ndo huo md anakosa say demu anafanya analotaka. lkn kila kitu kina mwisho MD kimkataba kikiisha si atakuja mwingine, unamkumbuka yule mbabe aliyepelekwa Mozambique kwa kutomnyenyekea rostam? jamaa alikuja akafuta tuvyeo vyeo tote twa kutunga halafu akamwambia rosta we are doing business and not mere cheap politics fisadi mbio kwa jk eti simtaki huyu jamaa huwezi amini yule MD alipewa 24hrs aondoke bongo so what goes around always comes around!
doesn't apply to Asha Rose Migiro
Huyu mzee wa kizungu nadhani Quintine Gray kama sijakosea spelling zake. Niliwahi kufanya naye kazi. Well the guy was good na alikuwa hataki longolongo kazini lakini alikuwa ni very opportunistic na alimtumia vyema Mwamvita kufanikisha malengo yake hapa nchini. Baadae nadhani na yeye akawa fisadi naona huko Australia wakaamua basi sasa.Ni kibabu ila si abuser. Kosa lake kafulia baada ya kuacha kazi SGS. Mwamvita kapata tajiri zaidi. Kibabu cha watu kimechanganyikiwa.
Ni kweli mkuu Chimunguru kwamba MD yule Jose Dos Santos aliondoka kwa kuhitilafiana na Rostam lakini tukio hasa lililofanya apewe 24hrs japo iliongezwa na kuwa 48hrs ni kitendo cha MD kumtukana aliyekuwa mwanasheria wa Vodacom enzi hizo Mh.William Mganga Ngeleja mbele ya Rostam baada ya Ngeleja kuchelewa kuingia kwenye Kikao cha Management na Local Shareholders (Rostam na Noni).Sababu ya Ngeleja kuchelewa kwenye kikao ni kwasababu alikuwa anapiga stori na Rostam ofisini kwa mwanasheria huyo ambayo ilikuwa pua na mdomo na Board Room enzi hizo ghorofa ya 14 pale PPF Tower. Kuhusu huyo Mwamvita pamoja na mambo mengine ni aggressive na pia kizungu chake kimenyoka na hiyo ni moja kati ya silaha kubwa ya kupanda vyeo haraka katika kampuni hizi multinationals.Sasa kama kuna issue ya uroda basi hiyo itakuwa ndiyo ile tunaita added advantage.

huyu dada nampenda sana na ni mchapa kazi kweli kweli! si ni dada yake january au, halafu ex mume wake anatoka na shoga yake awwwwwwwwwww!kaolewa , mume wake mzungu kibabu
Mkuu hapo kwenye RED,
kumbe kujuana kumeanza siku nyingi?? Ndo maana mambo ya Dowans ......dah! mtu mzima unaweza ku-connect dot
teheteheeeeeeeeewe nawe umetutokea wapi aisee... mara ngapi wanagawa kwa saababu ya cheo achilia cheo mara ngapi mnagawa kwa sababu ya vitz?? usituzingue hapa...
dont 4get meeeeeWhat do you mean?The list of successful married women is endless.. Hilary Clinton, The Queen Elizabeth, Margaret Thatcher, the late Mrs Ghandi, Prof Marjorie Mbilinyi, Dr. Asha Rose Migilo, mh Mukangara.....
ndoa hujasemea!c ndo cv inakuwa bieeeencV yake:O level-Kifungiro girls A-level-Shaaban Robert Chuo-Udsm
Widowed ni mwanaume mjaneWidow ni mwanamke mjaneWidowed...
Huyu dada ameolewa?
Kama ameolewa,anafurahia ndoa yake kweli?
Mbona kila siku yuko viwanja alone?
That was FYI................ Wengine tulikuwa hatulifahamu hilo......Hivyo vidili vyetu na yeye sasa tunavihamishia huko............ Thank you TZ1..ila hiyo bendera ungeweka ya Taifa kama lilivyo jina lako...........sasa akishapandishwa cheo unataka sisi tufanye nini? Hayo ni mambo yake na familia yake! Naona haina maana hapa!