Mwamvita Makamba apandishwa cheo

Status
Not open for further replies.
That was FYI................ Wengine tulikuwa hatulifahamu hilo......Hivyo vidili vyetu na yeye sasa tunavihamishia huko............ Thank you TZ1..ila hiyo bendera ungeweka ya Taifa kama lilivyo jina lako...........
Mkuu angalia hiyo bendera vizuri kuna kitu kimejificha
 
sasa akishapandishwa cheo unataka sisi tufanye nini? Hayo ni mambo yake na familia yake! Naona haina maana hapa!
nadhani mtoa uzi ana jambo anat aka kutuambia na likely mwenye mali anataka kuondoka nchini na kukasimisha madaraka yake kwa mwanamke asije kuwa ni bimt magamba teh teh teh....
 
Na mimi nimepanda cheo wanajamii nlikuwa msaidizi sasa ndo chairman,maana tumeamua kupeana sifa za kijinga
 
Mbona kama wanareport mara ya pili??ilishaongelewa tenaa huko blog kuwa amepandishwa cheo.......au na yeye wanamuandaa aje awe rais mwaka 2050??maana nasikia 2025 ni JM
 
Naamini hii ni forum ya Watanzania, Vodacom ni kampuni inayofanya biashara Tanzania, na huyu dada ni Mtanzania.

Kwa hiyo ni sawa kuweka hii habari hapa, kwani naamini tuna wateja wengi wa Vodacom.

Kama unaona haikuhusu iskip, si lazima kusoma kila thread na kuonyesha "chuki binafsi".

Mwamvita inawezekana ana makosa, semeni makosa yake. Heck, semeni hata makosa katika kupandishwa wadhifa kwake. Lakini msiseme kwamba tangazo la kupandishwa kwake wadhifa kazini halihusiki hapa JF.
 
Hivi Mwamvita ni nani by the way? Cheo chake kina maslahi kwa taifa au kwa babake? Hebu tuongee issue badala ya hizp longolongo...
 
Wakuu taarifa yeyote kwa great thinker ni njema na ni mtaji wa kufanyia kazi. Sidhani kama aliyetoa taarifa kakosea bali aiboreshe... Pengine tupe CV yake ili tuone kama alistahili hiko cheo nk. Pengine tueleze jinsi Rostam Aziz anavyohusika Vodacom na Uhusiano wa mzee makamba na mafisadi kama kina Rostam then kwa great thinker yeyote atatoa hitimisho la maana.
 
[h=2][/h]
Vodacom Tanzania has appointed Ms Mwamvita Makamba as the company’s Chief Officer: Marketing & Corporate Affairs.

Mwamvita Makamba holds a Masters Degree in Politics and International Relations from the University of Dar es Salaam and she has been with Vodacom for three years. She becomes the first woman to hold such a senior position in the company which started operations over ten years ago.

Under her new portfolio, Ms Mwamvita will look after Consumer and Business Marketing, Customer Relationship Management (CRM), Brand and Advertising, Corporate Communications, Corporate Social Responsibility (Vodacom Foundation), Sustainability and Stakeholder Relations for Vodacom Tanzania.

This post makes her answerable directly to the company’s Managing Director, Dietlof Mare.
 
Nampongeza Mswamvita kwa kupata kazi/cheo hicho. Ninapenda kufafanua kwamba siyo mwanamke wa kwanza kupata cheo cha ngazi hiyo ktk Vodacom. Ninadhani wa kwanza ni Mrs Stella Kiwango ambaye ni mkuu wa kurugenzi ya HR na anaripoti kwa CEO - ameku na cheo hicho kwa zaidi ya miaka 3.
 
Mzee Makamba amesomesha vizuri sana wanae. Tofauti na wanasiasa wengine ambao watoto wao wengi wako kwenye biashara za kulazimisha kwa vimemo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom