Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,266
wandugu mfahamisheni kuwa anatafutwa kweli kweli na RF
blog yake inampa wakati mgumu
kwa kweli kapotea mno huyu mtoto
we arawa,sasa unantafuta ugomvi,kwa nini unamfatata Lizzy,kama unantaka ubaya vagi zangu muulize Nyani Ngabu.wandugu mfahamisheni kuwa anatafutwa kweli kweli na RF
we arawa,sasa unantafuta ugomvi,kwa nini unamfatata Lizzy,kama unantaka ubaya vagi zangu muulize Nyani Ngabu.
Kwa taarifa yako mtoto Lizzy nimemtoa sweken huko ubga ltd kwa washamba kina Erickb52 na Arushaone na kumhamishia kwenye li apartment Upanga na vitara new model nimemkabizi.
Kijana tulia nisije nikakumwangosi,acha kabisa kuchezea anga za mapedejee.
Vagi unalijua unalisikia?
umesahau siku ile nilikukata mtama kempinski kaunta level 8,shukuru Mungu ulikubali we na nanilii muachane.
@Liizy,unaliona ***** hili? Limekuwa ka ndondocha,ulilipa nini?Mbona huongelei kifuti nilichokupa ukaweweseka hadi ukamgonga waitress na kumfanya adondoshe tray lake?
anakuhuu?kwa kweli kapotea mno huyu mtoto
@Liizy,unaliona ***** hili? Limekuwa ka ndondocha,ulilipa nini?
Maskini ya Mungu uyu mama alikuwa na msongo wa mawazo sana baada ya kuwa na bahati mbaya kwenye mahusiano,nilifanya kazi ya ziada kumrudisha kwenye mstari akarudia hali yake ya kujihisi na yeye ni mwanamke mwenye thamani..alianza kupotea baada ya kutimiza ndoto yake ya kumpata mwandani baada ya wana jf kumpotezea kama hawamuoni na kumwelewa..
Kama hatuko nae tena basi awasalimie uko alipo sisi tukijiskia tutamuombea.