Kwanini hutaki kujulikana JF?

Kwanini hutaki kujulikana JF?

Kazanazo

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2023
Posts
7,733
Reaction score
12,430
Mimi sababu zangu ni hizi hapa;
1. Niwe huru kutoa yasirini yanayonihusu ili kuondoa stress ndogo ndogo

2. Kuondoa hali ya dharau kwa baadhi ya member wakati wa kutoa hoja, mwingine akikujua dharau zinakuwa nyingi

Hasara nizipatazo
Moja ya hasara kubwa ya kuwa anonymous ni kukosa kuji-connect na marafiki ambao nimepotezana nao kitambo either std7, olevel, advance, jeshini, chuoni au sehemu ya kazi ambapo naamini humu wapo wengi sana

Kuna mwamba namtafuta sana tulikuwa coy moja 142kj, kama bado upo uwe na maisha marefu mkuu
 
Kuna siku nili comment kwenye mada flani mtandao wa X zamani Twitter nikashangaa ile comment yangu imerushwa kwenye group la ukweni kwangu alafu mjadala ukawa mrefu sana asilimia kubwa hawakufahamu kama mimi ndo nilie comment ila kuna mashemeji zangu watatu walitambua hiyo ni comment yangu na walinifata inbox kuanzia hapo nikachagua anonymous
 
Mimi binafsi nilitumia wayback 2015 but now nimeamua kutumia jina halisi simhofii mtu.

Kwa wote niliosoma nao primary, secondary, advance & University hapa kunipata ni rahisi.

Majulai,kibasila,kizuka, Eagles, Jitegeme na SAUT nadhani nitawapata niliona sihitaji tena kulumbana na walimwengu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom