Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,652
- 5,134
Kunywa maji kwanza mkuu upunguze hasiraMusiwapoteze watu kwa ujinga wenu..tamaduni zitabaki kuwa tamaduni suala la kutokuwa na mahusiano/ndoa nalo linaeffect kubwa,akili zenu zimekuwa za kutafuta pesa as if hiyo pesa unazikwa nayo kumbe na wewe unaicha na haujui hata lini unakufa.
mna upuuzi sana wadau
Unalolitafuta utalipataHatuwezi kushabikia huu upuuzi ambao upo kinyume na maumbile ya mwanadamu.Mungu alieumba mbingu na ardhi hakuwa mjinga kumuumba mwanamke kama msaidizi wa mwanaume.Kiasili mwanaume lazima aoe ili akili yake itulie na ikomae.Mungu akimpa watoto hapo ndoo penyewe sasa.Ndoa ni muhimu sana kwa maisha ya mwanadamu.Tuache kushabikia ujinga
Lazima tu stress utakuwa nayo mkuu. Kama unaishi maisha ya kuganga njaa ubachelor sio mzuri maana kuna vitu utatakiwa kufanya mwenyewe ambavyo haviendani na umri wako.Oya mzee tupo 30+ hatuna pesa, hatuna familia na stress hatuna mzee.
tofauti na Bongo ambapo vijana hatuna pesa mtu hana mke mbadala wake anaenda Riverside au Kimboka kutafuta K sii usenge huo kujiongezea mibalaa na nuksi.😂😂😂😂Utajiri wa 200m us dollars sii mchezo anaweza fanya lolote atakalo ndio maana hata sex akitaka ananunua.
Ni tofauti na Bongo ambapo vijana hatuna pesa mtu hana mke mbadala wake anaenda Riverside au Kimboka kutafuta K sii usenge huo kujiongezea mibalaa na nuksi.
Hakuna kitu kibaya maishani kama kijana 30+ anaeishi bachelor halafu hana pesa utaishi maisha ya stress balaa kuliko ambae anafamilia.
Vitu gani hutakiwi kufanya haviendani na umwili unaosemaLazima tu stress utakuwa nayo mkuu. Kama unaishi maisha ya kuganga njaa ubachelor sio mzuri maana kuna vitu utatakiwa kufanya mwenyewe ambavyo haviendani na umri wako.
Best stress free life mwamba ataishi miaka mingi sana akiwa na afya njema
TunajidanganyaBest stress free life mwamba ataishi miaka mingi sana akiwa na afya njema
Subiri ufike 35 or 40 yrs bahati mbaya uwe bado unajitafuta ndio utaelewa ni vitu gani utaonekana Fala mwanaume kufanya katika umri huo.Vitu gani hutakiwi kufanya haviendani na umwili unaosema
Ukiishi maisha yakuangalia watu wanakutazamaje town ndo utapata shida mzee be youSubiri ufike 35 or 40 yrs bahati mbaya uwe bado unajitafuta ndio utaelewa ni vitu gani utaonekana Fala mwanaume kufanya katika umri huo.
Lakini bachelor ambae ni don mambo huwa kwake ni mazuri zaidi maana pesa ndio humtumikia bila ya stress yoyote
Ni kweli lakini tunaishi kwa kutegemeana. Mfano mdada anafikisha miaka 40 hajaolewa lazima awe na maumivu kutoka ndani sii kwamba anapata kwa kuangalia watu wanamuonaje.Ukiishi maisha yakuangalia watu wanakutazamaje town ndo utapata shida mzee be you
KATAA NDOA LINDA MAISHA YAKOIntelligent businessman meno nje baada ya kuona mwanachama wake.
Mi nitaoa mkuuKATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO
Hahahah Umesema mwanaume lazima aoe ili akili itulie? Aisee nimecheka sanaHatuwezi kushabikia huu upuuzi ambao upo kinyume na maumbile ya mwanadamu.Mungu alieumba mbingu na ardhi hakuwa mjinga kumuumba mwanamke kama msaidizi wa mwanaume.Kiasili mwanaume lazima aoe ili akili yake itulie na ikomae.Mungu akimpa watoto hapo ndoo penyewe sasa.Ndoa ni muhimu sana kwa maisha ya mwanadamu.Tuache kushabikia ujinga