much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 7,669
- 10,529
Atakuwa asharudisha pesa na faida juuAnaweza Akajiona Yupo juu Awamu hii lakini Atakuja kutana na moto Huko mbele Ni zama Zake kwasasa

'Pesa ya matikiti' na pesa ya madafu je!Hata pesa yake Itakuwa siyo ya Halali,pesa ya matikiti huwezi ukarisk hivyo,
Wangejifunza kwa Manji ingependeza. Alitemeshwa COCOBEACH, Akatema QUALITY PLAZA nk. Wafadhili wa Soka hasa kwenye Timu yetu ya Chama na Serikali huwa WanaAjenda nyuma yake.Baada huwa wanaona kama wanaonewa kumbe ndio uhalisia
Jiwe angekuwepo haya hakika yasingetokeaWafuasi wa jiwe wakijua tu, utaanza kusikia jiwe wetu angekuwepo hili lisingetokea
Yah pale kuna zile coster za kukodisha pale ..😂.Hata kambi ya jeshi Mbagala vigogo washajimegea wamejenga baa, ya yadi ya magari
Anaweza Akajiona Yupo juu Awamu hii lakini Atakuja kutana na moto Huko mbele Ni zama Zake kwasasa
View attachment 2863230View attachment 2863234
Bila shaka huyu ni kigogo mzito sana, anajenga frem kwenye hifadhi ya barabara, ndani ya kituo cha mwendokasi Mbagala, kibali amepata wapi? Ilikuja Tanroad ikasimamisha ujenzi na kupiga X jamaa akafuta kwenye x za kijivu ujenzi unaendelea, wakaja tena wakarudia kupiga X bado mafundi wanapaua kwwa kasi. Idadi ya frem ni nyingi sana.
Ni nani huyu ambaye ni mkubwa kuliko serikali?
Mkuu wa mkoa amemshindwa?
Meneja wa Tanroad amemshindwa?
Dar wamemshindwa?
Wizara ya ardhi imemshindwa?
Je Jery Silaa anajua hii?
Nikitazama najisemea hakuna kikubwa duniani kama pesa na madaraka. Utafanya unavyotaka.
Madhara ya ujenzi huu yatakuwa makubwa sana sababu zitabinya upana wa barabara kwa magari na wateja wanaofanya manunuzi, hivyo kuongeza kero nyingine kwa watumiaji.
Hata kambi ya jeshi Mbagala vigogo washajimegea wamejenga baa, ya yadi ya magari
Mwendazake alikuwa akiwatokomeza mnamlaumu,haya Sasa.View attachment 2863230View attachment 2863234
Bila shaka huyu ni kigogo mzito sana, anajenga frem kwenye hifadhi ya barabara, ndani ya kituo cha mwendokasi Mbagala, kibali amepata wapi? Ilikuja Tanroad ikasimamisha ujenzi na kupiga X jamaa akafuta kwenye x za kijivu ujenzi unaendelea, wakaja tena wakarudia kupiga X bado mafundi wanapaua kwwa kasi. Idadi ya frem ni nyingi sana.
Ni nani huyu ambaye ni mkubwa kuliko serikali?
Mkuu wa mkoa amemshindwa?
Meneja wa Tanroad amemshindwa?
Dar wamemshindwa?
Wizara ya ardhi imemshindwa?
Je Jery Silaa anajua hii?
Nikitazama najisemea hakuna kikubwa duniani kama pesa na madaraka. Utafanya unavyotaka.
Madhara ya ujenzi huu yatakuwa makubwa sana sababu zitabinya upana wa barabara kwa magari na wateja wanaofanya manunuzi, hivyo kuongeza kero nyingine kwa watumiaji.
Frem zipo 70 Kodi ni million 1.5 kwa mwez, na zimeisha kabla ujenz haujaisha.
Mm Sina ela.
Ninapita pale Kila siku na ninajiuliza Kila siku yaani Kuna watu wababe aiseee na ninadhani mfumo wetu uko hoi sana na anzia kwenye pale kwenye soko la zakihem hazifunguliwa kumbe Kuna wajanja walishanikabidhi kabla ya kuwapa wale waliokuwepo kView attachment 2863230View attachment 2863234