Hossam
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 3,548
- 2,181
asante kwa walionshaul. km una ushaul kwan lazma ukoment
Una=huna, kazi ipo
asante kwa walionshaul. km una ushaul kwan lazma ukoment
Naamini kwenye shule za bweni kuna matron ambaye ni mtu mwelewa na pia huenda kuna wakubwa (wanafunzi wengine) ambao ni watu wenye mawazo mazuri unaonaje ukiwashirikisha hilo huenda ukapata msaada mzuri zaidi, namna ya kulishughulikia hilo jambo kulingana na mazingira yenu.
Wewe mtoto acha kudanganya wakubwa wako hile ndoa imeishia wapi.,
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/800844-kwanini-ipo-hivi.html
Hahahahaha! Umelilipua
https://www.jamiiforums.com/jf-doct...ctor/792211-msaada-nakojoa-mkojo-wa-moto.htmlMwalimu wangu wa kemia anitaka kimapenzi ameniambia atanioa kama nakikubala. Nimemkatalia alitaka kunibaka ofisini. nikakimbia. Naogopa kumwambia mama mkali sana sina urafiki nae kabisa.
Mwalimu amenusingizia kosa nimepewa barua nimwite mzazi, mpka sasa sijampa mama najua nikimpa akienda shule itakua balaa mana na yeye atanekandia sana kwa walimu na wanafunzu wenzangu wakati mimi sina makosa. Nifanye nini?.
Teh teh, mkuu huenda kuna wengine wanakumbana na madhila kama haya wanaweza ambulia kitu hapa.Unatumia msuli hivi kulishauri hili toto?
Tunakoelekea hizi X badala ya S na K2 badala ya kitu zitafika NECTA kwa wingi.
Pole kwa mkasa je hiyo ni shule ya bweni au kutwa?
Mwalimu wangu wa kemia anitaka kimapenzi ameniambia atanioa kama nakikubala. Nimemkatalia alitaka kunibaka ofisini. nikakimbia. Naogopa kumwambia mama mkali sana sina urafiki nae kabisa.