my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
- Thread starter
- #21
asante kwa walionshaul. km una ushaul kwan lazma ukoment
asante kwa ushaul bibi.comMwambie akutumie msg kwa simu kama anakupenda kweli mpe no. ya mama yako kama wewe huna simu kama vipi mwambie aandike barua ya kukutongoza kama ana akili hatafanya hivyo anajua utamshika. Hakikisha huwi nae karibu na huendi kwa ofisi ukiwa peke yako na hakikisha uongozi wa shule umejua.
maa cjui km atanielewa na kpondo ntapataWee Binty !! unaogopa nini kwa masilahi yako? khaaa.... Ukali huo usikupoteze maisha yako... Sasa bora ubakwe bila radhaa yako au maa akawaripukie huko !!
DEFEND yourself !!
Naamini kwenye shule za bweni kuna matron ambaye ni mtu mwelewa na pia huenda kuna wakubwa (wanafunzi wengine) ambao ni watu wenye mawazo mazuri unaonaje ukiwashirikisha hilo huenda ukapata msaada mzuri zaidi, namna ya kulishughulikia hilo jambo kulingana na mazingira yenu.shule ya bwen
Labda anataka kupata uhakika kama imeshavurugwa vurugwa. Hawa watoto wa shule hawana cha kufanya likizo hii na siku hizi net sio mpaka mtu afunge safari ya internet cafe mkuu.Huyu si kauliza kuhusu bikra inatokaje sio mda mrefu.
mmmh!!!!! au ndio mwalimu kaibomoa
masai dada njoo huku. makoyo fika hapa.
Huyu si kauliza kuhusu bikra inatokaje sio mda mrefu.
mmmh!!!!! au ndio mwalimu kaibomoa
masai dada njoo huku. makoyo fika hapa.
Labda anataka kupata uhakika kama imeshavurugwa vurugwa. Hawa watoto wa shule hawana cha kufanya likizo hii na siku hizi net sio mpaka mtu afunge safari ya internet cafe mkuu.