Mwalimu wangu wa kemia ananitaka kimapenzi

Mwalimu wangu wa kemia ananitaka kimapenzi

Hivi kwanini wanaolewa hawana shepu wala sura. Mfano rafiki zangu sio wazuri wala nini lakini wanaolewa. Mimi nina shepu na sura nawashinda wote lakini mbona siolewi na sidumu na wanamme.

Wengne wasema nimelogwa eti inaweza kua kweli jamani.


Msada tafadhali.

Thanx for your advice.
khaah kumbe ndo huyu ..... !!! poor me..
 
Binti unaumwa kifaduro cha vidole?

Mbona unaandika kama unakimbizwa vile...

Dah mkuu you have made my day kama sio night nimecheka
I hate wanaoandika x badala ya s
 
my name is my name

Tutolee upuuzi wako na vi-thread vyako visivyo na kichwa wala miguu,kwanza ulipojiunga tu na jf tar. 25-jan mwaka 2015 ukaanza kuleta visa vyako kama ifuatavyo:-
1:Oooh kuna mtu eti anakutaka mapenzi kinguvu,we umemtolea out lakini hasikii na ukaomba ushauri ufanyaje
2:eti ukaja na issue ya bikira,oooh ivi inakuaje bikira inapotolewa huwa kuna maumivu ama la
3:leo tena unakuja na issue ya mwl wa kemia kukutaka,uongo mtupu

Ushauri:tulia binti matangazo yako ya kutafuta mume tumeyaona na watu wanayafanyia kazi,no hurry in africa
 
Last edited by a moderator:
hizi type za facebook huku umepotea njia
 
my name is my name

kwa approach ya uyo tcha Hapo.. hatakuoa wala nin..huyo anataka kukugonga tu.ili aondoe ugwadu ..ko cha msingi hapo nkumwambia kama anatakakukuoa aende hom kwenu akapose co kukut*mba hafu eti akuoe. uckubali .

.ushaur huu fanyia kazi akiendelea..ongea na ustawi wa jamii..ili wamfanyie mtego...ambao utamnasa..umenielewa..matcha wengine ...anaacha tafuta unyevu wa matcha wenzie anafuata dent...
 
Last edited by a moderator:
Wazazi wasomeshe tu kwakweli, yani mwanafunzi bila haya wala soni na ata hajiskii vibaya kakaa sijui na shimizi eti anaandika.... Antaka,maa,memkatalia,xul nk, katika jukwaa la jamii forum. Ungeenda huko Facebook ukaandike hizi pumba mjinga wewe, sasa kwa taarifa yako mimi ndio huyo unaemuita maaa
 
Mleta uzi unaonekana ni mzoefu wa malt IDs pia wew c mtot wa kike ni wakiume na unae mivuz.....mpaka kwa mkund*

so try to behave lyk a man la cvyo mabahsha wapo watakuchumuu kweli,
 
Huyu binti wenyewe mchechetu hadi kwenye kuandika,uandishi kama hujulikani kwenu.
 
Back
Top Bottom