Voltaire
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 1,964
- 2,190
Unapata raha gani kuandika uwongo?kila siku una post vitu vya hovyo hovyo,una akili timamu?kama huna cha kuandika,soma vya wengine basi,ur pathetic!Mwalimu wangu wa kemia anitaka kimapenzi ameniambia atanioa kama nakikubali. Nimemkatalia alitaka kunibaka ofisini. nikakimbia. Naogopa kumwambia mama mkali sana sina urafiki nae kabisa.
Mwalimu amenisingizia kosa nimepewa barua nimwite mzazi, mpaka sasa sijampa mama najua nikimpa akienda shule itakua balaa maana na yeye atanikandia sana kwa walimu na wanafunzi wenzangu wakati mimi sina makosa.
Nifanye nini?