KILIVITE
JF-Expert Member
- Feb 14, 2013
- 1,302
- 556
Nina mashaka na taarifa hii:1.Jina lako linaakisi unafiki uliokuwa nao,yawezekana wewe ndo unamtaka huyo mwalimu 2.Kuandika X badala ya S ni dhahiri kuwa unachomaanisha sicho 3.Kudhihirisha unafiki wako unaogopa kuwaambia wazazi ilhali umemwaga hapa JF.Shame upon YOU!