Mwalimu wa tution kanikatisha tamaa

Mwalimu wa tution kanikatisha tamaa

Hapo kwenye kuchangamka umenichekesha🤣😂🤣mm pia sikuaga na changamka utotoni.....pamoja nilikua sichangamki ila huwezi kunionea

Mfano kwenye ma bembea...nilipenda kutizama Kwa macho...

Kweny swimming 🥽 nilipenda kua mtazamaji...

Kwenye Yale makolokolo ya watoto midoli na vikoleo pamoja na mattiper ya kuchezea sikupenda pia....

Mara nyingi nili penda kukaa peke angu bila kujichanganya na watu....

Sidhani kama mtoto atakua na Tatizo bali ni kumpa muda zaidi.....maana ni mapema MNO....
Nimetoa more than one suggestion Boss ndio mana nimesema mwalimu abadilishwe kwasababu njia za ufundishaji na wito una tofautiana, 2. Labda kuna mtu ana msumbua huyo mtoto mda mwingini ana kuwa mwoga akili haiwezi kuwa active ana ogopa ogopa ila mzazi na mwalimu wanabakia wakikazana haelewi so bora mzazi pia ajishulishe kumchunguza kiafya etc.
 
Jf kila mzazi alikuwa kichwa shule! Hovyo kabisa....mkuu hebu jipe muda kufuatlilia maendeleo ya dogo,kwa kuongea nae na kukagua madaftari yake...kila mtoto ana uwezo usimamizi tu makini unahitajika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom