Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,394
- Thread starter
- #121
Twende tu hivyo hvyo [emoji1787][emoji1787]
Au nikulete wewe umfundishe kichina kidogo
Twende tu hivyo hvyo [emoji1787][emoji1787]
Nitamdanganya tu🤣🤣🤣🤣🤣Au nikulete wewe umfundishe kichina kidogo
[emoji817]Watoto hurithi akili kwa mama zao.
Usilaumu mtoto,lazina kuna mzazi mmojawapo ni kilazaHellow guys
Dah nina mtoto wa wa ndugu yangu ambae binafsi niliamua kumsaidia katika masom yake nikampeleka tution.
Jana nikapiga simu kwa mwalimu wa tution kuuliza maendeleo yake vipi dah sikutalajia ajibu vile au kupata feedback ile
Mwalimu: mzazi mwanao ni mzito sana ndio maana ata sijakudai hela ya tution ya miezi miwili mwanao hana mwelekeo wowote ule nashindwa kuelewa nitumie njia gani ila ngoja tuone
Mimi : sawa kaka
Hapa nifanyeje na huyu mtoto [emoji849]
🤣 watu 🙌🙌Why msiende wote tuition na wewe? Msome wote🤭
Ukipigwa usiniite 😂😂😂😂Why msiende wote tuition na wewe? Msome wote🤭
Nitamdanganya tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bora wewe umeelewa🥱Ukipigwa usiniite 😂😂😂😂
💃💃💃💃🙌🤣 watu 🙌🙌