Mwalimu wa tution kanikatisha tamaa

Mwalimu wa tution kanikatisha tamaa

🥲🥲Basi mwanangu namwonea huruma sana maana hikik kichwa Cha mama yake[emoji1787][emoji1787] looh
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa ilikuwaje ukamchagulia awe mama yake!?
 
Hellow guys

Dah nina mtoto wa wa ndugu yangu ambae binafsi niliamua kumsaidia katika masom yake nikampeleka tution.

Jana nikapiga simu kwa mwalimu wa tution kuuliza maendeleo yake vipi dah sikutalajia ajibu vile au kupata feedback ile

Mwalimu: mzazi mwanao ni mzito sana ndio maana ata sijakudai hela ya tution ya miezi miwili mwanao hana mwelekeo wowote ule nashindwa kuelewa nitumie njia gani ila ngoja tuone

Mimi : sawa kaka

Hapa nifanyeje na huyu mtoto [emoji849]
Mkuu umeamua kuwa Yohana mtembezi sio🤣🤣🤣
 
Budah unamkana mwanao live live ati ni mtoto wa ndugu yako. Huenda kafuata akili ya baba yake.
Anyway mtoto kama huyo itahitaji ukae naye wewe umfundishe kwa uvumilivu na saburi. Uzito ni matokeo ya nini kimejaa kichwani mwake. Soma saikolojia yake vizuri utajua uanzie wapi. Hao waalimi utakuja kugombana nao bure tu. huo msala ni wako, komaa naye
 
Sio lazima wote tusome jamanii mtafutie fani ya ujuzi akasomee huko aingie mtaani apige kazi

Haya mambo ya kulazimisha kila mtu asome shule ndo ple unapokuja kupata 0 hlf huna wa kumlaumu
 
Huyo mtoto atakuwa na kipaji kingine fanya utafiti
 
Nakubaliana na mwalimu. Kuna watoto ni wazito sana utadhani anafanya makusudi unaweza ukapiga mangumi kumbe haelewi unamuonea bure
Pia inategemea na uwezo wa mwalimu kufundisha watoto wa aina hiyo. Ikiwa anafundisha kwa speed ya wanafunzi wa kawaida basi siku zote atamwacha nyuma. Alitakiwa ampe special attention.
 
Huyo mwalimu hamfai huyo mtoto,tafuta mwalimu mwingine tu.Kwanza jibu la jumla sana,then inaonekana anafanya basi tu lakini ana tumaini dogo sana kama mtoto anaweza kufanya vizuri.
 
Shukru Mungu ,mwalimu Yuko sahihi kuna watoto wazito kweli ukitaka kuelewa hili fikiria darasani kwako hata Kama Ni primary je wote mlikuwa na uelewa sawa?Kama Ni me mpeleke gerage,au ufundi wowote Kama Ni ke peleka kwny upishi au utembo huko akasomee kwny upishi anaweza akajifunza masuala ya keki,kuandaa mikate n.k baadaye muweze mtaji
 
Budah unamkana mwanao live live ati ni mtoto wa ndugu yako. Huenda kafuata akili ya baba yake.
Anyway mtoto kama huyo itahitaji ukae naye wewe umfundishe kwa uvumilivu na saburi. Uzito ni matokeo ya nini kimejaa kichwani mwake. Soma saikolojia yake vizuri utajua uanzie wapi. Hao waalimi utakuja kugombana nao bure tu. huo msala ni wako, komaa naye

Mimi na ualimu wapi na wapi [emoji849]
 
Sio lazima wote tusome jamanii mtafutie fani ya ujuzi akasomee huko aingie mtaani apige kazi

Haya mambo ya kulazimisha kila mtu asome shule ndo ple unapokuja kupata 0 hlf huna wa kumlaumu

Sawa
 
Hellow guys

Dah nina mtoto wa wa ndugu yangu ambae binafsi niliamua kumsaidia katika masom yake nikampeleka tution.

Jana nikapiga simu kwa mwalimu wa tution kuuliza maendeleo yake vipi dah sikutalajia ajibu vile au kupata feedback ile

Mwalimu: mzazi mwanao ni mzito sana ndio maana ata sijakudai hela ya tution ya miezi miwili mwanao hana mwelekeo wowote ule nashindwa kuelewa nitumie njia gani ila ngoja tuone

Mimi : sawa kaka

Hapa nifanyeje na huyu mtoto [emoji849]
Mkuu usimkatie tamaa kabisa.
Broh wangu ninae mfuata alikua hivi, ukimaliza kumfundisha tu ukaenda dukan ukirud kasahau kilakitu, mzee wangu alkua anaumia sana ndipo akaamua kumpeleka chuo cha ufundi FDC kibaha shirika la elimu.
Bro alienda kusomea ufundi na udereva wa magari, alipasua ile mbaya ad sifa zikamfikia mzee kutoka kwa mkuu wa chuo.
Sasa hivi ninavoandika broh ni moja kati ya watu wa kutegemewa TPDF katika ufundi wa magari na mitambo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom