Mwalimu wa tution kanikatisha tamaa

Mwalimu wa tution kanikatisha tamaa

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] aisee

Ngoja niaze kutumia yako sasa [emoji23][emoji23]
 
Hellow guys

Dah nina mtoto wa wa ndugu yangu ambae binafsi niliamua kumsaidia katika masom yake nikampeleka tution.

Jana nikapiga simu kwa mwalimu wa tution kuuliza maendeleo yake vipi dah sikutalajia ajibu vile au kupata feedback ile

Mwalimu: mzazi mwanao ni mzito sana ndio maana ata sijakudai hela ya tution ya miezi miwili mwanao hana mwelekeo wowote ule nashindwa kuelewa nitumie njia gani ila ngoja tuone

Mimi : sawa kaka

Hapa nifanyeje na huyu mtoto [emoji849]
kwani wewe huwezi kufnya assessment kujiridhisha? mwalimu kakwambia ukweli wewe ulitaka akudanganye?
 
MOJA:Hembu kwanza tafuta muda kaa na huyo mtoto mchunguze kama kuna jipya uta gundua ina weza kuwa ana jambo lina msumbua ila hakuna alie weza gundua ila mmefocus eneo moja tu la kutaka asome zaidi kumbe ana tatizo laki afya.
PILI: Badili mwalimu bila kumweleza mwalimu mpya lolote uone kama pata kuwa na taarifa hiyo hiyo.
TATU: Kampani yake iko vipi? wanao cheza nae wapo vipi? Ana changamka kama wengine? Walimu shuleni wana semaje?
 
Sawa
 
Hapo kwenye kuchangamka umenichekesha🤣😂🤣mm pia sikuaga na changamka utotoni.....pamoja nilikua sichangamki ila huwezi kunionea

Mfano kwenye ma bembea...nilipenda kutizama Kwa macho...

Kweny swimming 🥽 nilipenda kua mtazamaji...

Kwenye Yale makolokolo ya watoto midoli na vikoleo pamoja na mattiper ya kuchezea sikupenda pia....

Mara nyingi nili penda kukaa peke angu bila kujichanganya na watu....

Mwalimu slimfuata mama akamwambia mwanao hachangamki wala hachezi na wenzake🤣🤣🤣😂😂

Nilikua very wise tangu udogoni sikua kama watoto wengine....nilikua very logical

Sidhani kama mtoto atakua na Tatizo bali ni kumpa muda zaidi.....maana ni mapema MNO....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom