Mwalimu wa tution kanikatisha tamaa

Mwalimu wa tution kanikatisha tamaa

Ndio kwa sababu unajua watasema kachukua akili za baba yake[emoji16]

Baba yake alikuw anakuja kitaa nimfundishe hata jinsi ya kupost JF

[emoji23][emoji23][emoji23] ngoja nikupe account kabisa uimiliki au na simu
 
🥲🥲Basi mwanangu namwonea huruma sana maana hikik kichwa Cha mama yake🤣🤣 looh
Hurithi akili kwa mama lakini tabia anarithi za baba plus malezi.
Sasa inategemea mkeo yupoje?
😅😅😅😅😅 umenichekesha sana we mtu.
Ila ina wezekana akawa hivyo unavyomuona lakini smart kichwani.
 
Hurithi akili kwa mama lakini tabia anarithi za baba plus malezi.
Sasa inategemea mkeo yupoje?
😅😅😅😅😅 umenichekesha sana we mtu.
Ila ina wezekana akawa hivyo unavyomuona lakini smart kichwani.
Ni smart ila akili akichukua za mama 🤣🤣 aisee au ngj niishie apo, japo ni kadogo ngoja kakue kue kwanza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom