Mwalimu wa tution kanikatisha tamaa

Mwalimu wa tution kanikatisha tamaa

Si dhambi kuwa mzito wa akili ila si salama saana kumkazania huko...jaribu kuongea nae mwenyewe kwa namna ya kushauriana umsikilize maoni yake afu umshauri ajaribu masomo mengine ya ujuzi. Atakachoona kinamfaa msikilize

Sawa kaka
 
Mpeleke Veta mkuu, elimu ya ma fiziksi, history na hesabati it’s not for everyone…mpeleke veta apate elimu kwa vitendo mbona atafanya vizuri tu

Sawa shukrani
 
Hellow guys

Dah nina mtoto wa wa ndugu yangu ambae binafsi niliamua kumsaidia katika masom yake nikampeleka tution.

Jana nikapiga simu kwa mwalimu wa tution kuuliza maendeleo yake vipi dah sikutalajia ajibu vile au kupata feedback ile

Mwalimu: mzazi mwanao ni mzito sana ndio maana ata sijakudai hela ya tution ya miezi miwili mwanao hana mwelekeo wowote ule nashindwa kuelewa nitumie njia gani ila ngoja tuone

Mimi : sawa kaka

Hapa nifanyeje na huyu mtoto
Tangu
Nikiwa
Mdogo
Nili
Kua
Mtulivu
Mwalimu
Wangu
Wa
Vidudu
Aliwai
Mwambia
Mama
Mwanao
Hachangamki
Hachezi
Na
Wenzake
Sipendagi
Vurugu
Mimi
Nilikua
Najiona
Normal
Siku
Zote
Napendaga
Negative motivation 🤣🤣🤣😂🤣😂
Mm
Siku
Zote
Huwa
Na
Be
Motivated
Na
Negative motivation
Nimekumbuka
Ule
Wimbo
Wa
Mwana FA
Ft
Lady Jd
Usiache kuongea

Kwa Sasa
+267
 
Mbadilishie Mwalimu.... Wakat mwingiline mwanafunzi asipopendezwa na Mwalimu hua sababu ya kuto kuelewa Darasani... Jaribu kumbadilishia Tuition... Huwenda kukawa na mabadiliko

Sawa ila alimchagua mwenyewe na mimi nilimpendekeza huyo ticha kabla ya yeye kusema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom