MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

Ni moja ya wilaya katika mkoa wa Ruvuma ambayo kijografia inapakana na mkoa wa Mtwara ususani wilaya ya Nanyumbu. Zao kuu la biashara ni Korosho pia kuna madini mengi ya vito. Kabila kuu ni Wayao. Kielimu ipo nyuma kidogo, ila kuna hali ya hewa nzuri. Ni sehemu nzuri kuishi. Karibu sana.
 
Ipo safi sana,ni kula ndizi tu,hebu nijuze nami kuhusu lindi liwale shule kiangara
 
shimboni shashooo..... bora urud kwenu kabisa, huku ata ukiomba maji ya kunywa utaulizwa upimiwe ya sh ngapi, wameweka hela mbele sana!!!!! karibu utatukuta wengine tunakomaa nao hivyo hivyo
 
Wilaya ya Misenyi ni miongoni mwa wilaya mbovu hapa Tanzania ukianzia miundombinu mpaka maisha ya kawaida.
Awali ilikua wilaya ya Bukoba vijijini baadae wakaigawa.
Pole sana kwa kupata ajira sehemu kama misenyi.
Utakula gonja mpaka useme no.
Sukari inauzwa 500 cuz mko nearby na Kagera Sugar. Andaa solar power.
 
Kama wew ni mwl.secondary wa masomo ya science na umepangwa buhigwe-kigoma ni pm au nipgie kwa namba 0764616353 ili nikufnyaie mchongo upangwe shule ilyo angalau ili usije ukakmbia kituo cha kazi,

huduma hii ni bureeee kwa walimu wa sayansi tu sihtaji malipo yeyote,

karbuni sana mkoa wa kigoma.

Wewe jinga tapeli
 
asikutishe ndugu mimi pia nafundisha huku baadhi ya maeneo yapo vizuri sana kuna umeme maji samaki kwa wingi kingine siyo mbali sana na msoma mjini kwa baadhi ya maeneo

mambo ya fujo huku hakuna watu wanaishi vizuri sana toka nipo huku sijaskia mambo mabaya labda Tarime rorya na serengeti

karibu musoma ni pm kwa maelezo zaidi
 
panda gari mpaka arusha mjini then pale arusha stendi chukua bodaboda mpaka makao mapya ndio magari ya kwenda simanjiro waambie unashukia orkesumet hapo ndipo makao makuu ya wilaya yalipo, nauli tokea arusha ni 10000. mabasi yanaondoka SAA 5 asubuh

asante sanaa
 
Wewe kukataa Moshi labda umezaliwa na kukulia London.Hakuna baridi kali siku hizi shaka ondoa,barabara zote lami umeme na maji safi full,network ya simu usikonde.Shule nyingi zina nyumba za waalimu na umeme,vyakula ushindwe ww kunenepa,huduma za afya zipo karibu karibu.Popote utakapopangwa hakuna nauli ya zaidi ya buku na mwendo wa nusu saa kwenda mjini.
Ukitaka kwenda kuripoti panda gari za Moshi Arusha,unashuka moshi mjini.Tafuta pa kulala kesho yake panda gari za Kiboroloni sema wakushushe KDC umefika kwa mkurugenzi hapo.
 
kama upo Dom Fanya uje hadi hapo Ranch ya kongwa ( morogoro road) then pata gari za kuja kite to ( masaa 2tu), utall kiteto na asbh utapanda gr za kuja orkersumet( lipo moja) saa tatu ushafika wilayan

shukuran sana barikiwa wewe
 
Ni moja ya wilaya katika mkoa wa Ruvuma ambayo kijografia inapakana na mkoa wa Mtwara ususani wilaya ya Nanyumbu. Zao kuu la biashara ni Korosho pia kuna madini mengi ya vito. Kabila kuu ni Wayao. Kielimu ipo nyuma kidogo, ila kuna hali ya hewa nzuri. Ni sehemu nzuri kuishi. Karibu sana.

Nashukuru sana mkuu nimetumwa pale nkafundishe hesabu na uchumi bas am sure then..
 
shimboni shashooo..... bora urud kwenu kabisa, huku ata ukiomba maji ya kunywa utaulizwa upimiwe ya sh ngapi, wameweka hela mbele sana!!!!! karibu utatukuta wengine tunakomaa nao hivyo hivyo
Hahahaaa!acha uongo arifu,kwanza ataomba maji ya nn na haya maji ya kilimanjaro yanatiririka kila mahali!kazi yake ni kuwa na chupa tu!
 
bejamini;

dah umenipa muongozo mzur sana, tutawasilia na wewe kesho

utamuongozo vizur kesho.
 
Last edited by a moderator:
umeme maji samaki hali ya hewa poa sana karibu musoma vijijini uwezi fananisha na sehemu kame kama bahi
 
napenda kuwakaribisha walim wapya waliopangiwa mkoan tabora tunakaribisha sana na ss wazaz tutasaidia kuhakikisha watoto wetu wanafka shule bila kukosa
mkoa wetu una wilaya hizi nzega,uyui,igunga,urambo,tabora mjini, na kaliu karibun sana walim wetu:
kwa wale waliopangiwa nzega naomba tushirikiane kuijenga nzega kwa kutoa elim bora

Naomba unijize kuhusu kaliua ikoje?
 
Tandahimba ni moja kati ya wilaya tano Tanzania yenye uchumi mkubwa. Karibu 60% ya korosho zote zinazozalishwa Tanzania zinatoka wilaya ya Tandahimba hivyo uchumi wa mtu mmoja mmoja ni mkubwa sana. Ni wilaya changa ambayo zamani ilikuwa ndani ya wilaya ya Newala lakini imepiga hatua sana kimaendeleo. Ni kilometer takriban 90 kutoka mtwara mjini. Karibu kwa wamakonde ni wakarimu ila masikini jeuri.
 
ni wilaya peke.ya mkoa.wa Ruvuma ambayo haina barabara za Rami...karibu kwetu
 
Kwanza shukuru kwa kupata hiyo ajira. Pili unaanza kuhofu huko na kutaka mjini wakati hata kufika hujafika. Huko nako wanahitaji huduma ili mwanga na uelewa uongezeke. Hivyo jiandae uende ukaripoti na ukafanye kazi kwa bidii. Wewe ni msomi kwa kiwango chako, huko unaweza pata fursa kwa kutumia akili yako na baada ya muda wakisema uhame ukakataa.

Angalizo:
Vijana mnapofika maeneo ya watu muwe watulivu na wastaarabu, Kujifanya VIDUME au MASISTA DU mtaharibikiwa na jamii haita wafurahia.
 
Wewe kukataa Moshi labda umezaliwa na kukulia London.Hakuna baridi kali siku hizi shaka ondoa,barabara zote lami umeme na maji safi full,network ya simu usikonde.Shule nyingi zina nyumba za waalimu na umeme,vyakula ushindwe ww kunenepa,huduma za afya zipo karibu karibu.Popote utakapopangwa hakuna nauli ya zaidi ya buku na mwendo wa nusu saa kwenda mjini.
Ukitaka kwenda kuripoti panda gari za Moshi Arusha,unashuka moshi mjini.Tafuta pa kulala kesho yake panda gari za Kiboroloni sema wakushushe KDC umefika kwa mkurugenzi hapo.

Much love,mkuu..Nimekupata vizuri..Wakat mwingine naweza kuihitaji namba yako ya simu kwa mawasiliano zaidi kama hutajali..
 
Back
Top Bottom