MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

Kata tiketi ya Kahama.

Then, Panda gari la Bukombe/Ngara/Biharamlo au Benako, utashukia njiani tu coz sio mbali na Kahama na ni Lami tu!.
 
Naomba kujuzwa pengine pakawa hakuna marekebisho yoyote naelekea Geita wilaya ya Nyang'whale kutokea dar napanda magari gani
Nashukia wapi?
Maendeleo ya wilaya yakoje(afya maji elimu umeme usafiri chakula na biashara)
Watu gani ni dominant maeneo hayo.
Mambo gani ya kuwa na tahadhari nayo niwapo huko?
Hali ya hewa je ikoje
Asanteni sana
 
Jamani wale wa ushetu ni halmashauri mpya iliyoko kahama karibuni sana. Ofisi za halmashauri zipo kahama mjini.
 
msada wana JF nimepangiwa dodoma-kongwa-Mang'hweta sec. Anayepajua vizur haniambie ukwel wala hasunipe moyo wana JF
 
naomba kuangaliziwa joyce wanjara chuo morogoro ttc

Jina hilo kwenye orodha iliyotolewa jana halipatikani labda subiri updated list watakayotoa tena. Nimeangalia kwenye orodha ya walimu wa science na ile ya art kote halimo
 
Jamani nimepangiwa mkoa wa kigoma wilaya ya buhigwe shule inaitwa bwafumba. Naomba anaepafahamu vizuri anisaidie yafuatayo
1.nauli kutoka kigoma mjini
mpaka wilaya ya buhigwe ni kiasi gani? 2. Nauli kutoka makao makuu ya buhigwe mpaka ilipo shule ya bwafumba ni kiasi gani? 3. Hapo bwafumba kuna nyumba za kupanga? 4. Hapo bwafumba upatikanaji wa huduma kama maji, hospital na mitandao ya simu ukoje?
NAOMBA KUJUZWA TAFADHALI

nipm mikwambie
 
Back
Top Bottom