Morgan Freeman
Member
- Mar 14, 2015
- 85
- 105
Shinyanga DC au TC,Kahama,Kishapu niPm niwape michoro
Wapendwa,,kwa neema ya Mungu ajira amazo wengi wetu tumekuwa tukizisubiri zimetoka sasa..Mimi ni mmoja wao waliopangwa kwenye wilaya hiyo inayoitwa Moshi Dc mahali ambapo sikuwaza kuwa nitaenda katika uhai wangu hata siku moja ila ndo hivyo sina jinsi..Ukiondoa taarifa ya kuwa Kilimanjaro ni mkoa wenye baridi sina taarifa yoyote ile ambayo inaweza kuwa msaada kwangu mimi..Tafadhali,mwenye kuijua vizuri hiyo sehemu anielekeze vizuri..Pamoja na hayo,wale waliopangwa Lindi Mjini au Mtwara Mjini na ungependa urudi kwenu Moshi,waweza wasiliana nami maan kwa kweli afya yangu hairuhusu kuishi sehemu yenye baridi..Niwatakie wakati mwema..
anaepajua mbozi tafadhali naomba taarifa
Wakuu...
Kwa anayeifahamu wilaya ya Rorya Mara anijuze...nimepangwa huko lakin sina ufahamu hata kidogo juu ya wilaya hiyo.
Wapendwa,,kwa neema ya Mungu ajira amazo wengi wetu tumekuwa tukizisubiri zimetoka sasa..Mimi ni mmoja wao waliopangwa kwenye wilaya hiyo inayoitwa Moshi Dc mahali ambapo sikuwaza kuwa nitaenda katika uhai wangu hata siku moja ila ndo hivyo sina jinsi..Ukiondoa taarifa ya kuwa Kilimanjaro ni mkoa wenye baridi sina taarifa yoyote ile ambayo inaweza kuwa msaada kwangu mimi..Tafadhali,mwenye kuijua vizuri hiyo sehemu anielekeze vizuri..Pamoja na hayo,wale waliopangwa Lindi Mjini au Mtwara Mjini na ungependa urudi kwenu Moshi,waweza wasiliana nami maan kwa kweli afya yangu hairuhusu kuishi sehemu yenye baridi..Niwatakie wakati mwema..
Shinyanga ikoje jaman!
Hii hatar sana aisee
Hello wana jamii forum napenda kujua zaidi kuhusu shinyanga dc nimepangiwa huko kufundisha kama kuna mwenye information kuhusu eneo hili itakayo nisaidia aniambie plz
Shukran wote
Jamani inamaana humu hamna mwenzng tuliopangwa wote Rufiji mkoa wa Pwani,
Naombeni maelezo kidogo kuhusu wilaya hii mm nipo tegeta Dar,
Asanteni
Umeme na maji vp?
Vijiji vyake vipoje?