VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,375
Ukweli ni kwamba Ujamaa doesnt work..., lakini mimi na wewe tunajua hayo because of hindsight, baada ya kuona from history, na ujamaa haufanyi kazi sio sababu ya utekelezaji, bali ni sababu binadamu ni wachoyo na tuna ubinafsi, hatukuwezi kuishi wote sawa na kugawana mali kwa usawa, umimi ni mwingi kwahiyo hata King Solomon angekuwa ndio kiongozi sidhani kama anaweza akafanya Ujamaa a Success..,Vijiji vya ujamaa ilikuwa ni flawed concept yaani kumtoa mtu kwenye shamba lake la mamia ya hectares kumpeleka kwenye kajishamba cha hecta mbili ili mradi tu uweze kumletea huduma ambazo afterall hazikufika! ukisahau uzalishaji utapungua vp? hivi economist wake alikuwa nani?
Signature ya invisible ina maneno kwamba ficha upumbavu wako, onyesha hekima yako.
Leo hii tunaelekea kutimiza miaka 12 tangu mwalimu alipofariki lakini bado sehemu kubwa ya watanzania wanamkumbuka na kufanya reference kwake, wanafanya reference kwa uchapaji kazi wake, wanafanya reference kwa uzalendo wake, wanafanya reference kwa uwajibikaji wake, wanafanya reference kwa uongozi wake mahiri na kila aina ya utendaji wake.
Huwezi kumlinganisha mwalimu na hawa wanamagamba wa sasahivi, mwalimu alikuwa na vision sio hawa vilaza wa sasa hivi. Wewe mwenyewe huwezi kujilinganisha na mwalimu at any level na katika jambo lolote, ni mwendawazimu tu ndiye anaweza kusimama mbele ya hadhara na kusema kwamba mwalimu alikuwa na mawazo finyu, ni mwendawazimu pekee anyeweza kufanya hivyo!!
Eti ime-mcost? imemcost nini? kufariki? hilo nalo ni jambo la ajabu?kwani mwalimu hakuwa mwanadamu?mwanadamu kufa ni lazima au wewe unadhani mwalimu alikuwa malaika?
Kama tatizo lako ni tv, ni tatizo lako binafsi, si tatizo la watanzania wengi, kuna watu ndani ya nchi hii tv sio kipaumbele kwao
Radio ndio chombo pekee cha mawassiliano kinachoweza kuwafikia hata wale walioko vijijini mno, ambao angalau wanaweza kumudu kununua kiredio cha mkulima na kusikiliza. Kwahiyo hotuba zake kutokuwepo kwenye tv sio issue kabisa as long sauti yake ipo kwenye audio, mtu akitaka kupata ujumbe wa mwalimu anaupata. Tatizo lako nadhani unapenda kuuza sura kama viongozi wako wa sasahivi wanavyopenda kuuza sura ndio maana unalalam kutokuiona sura ya mwalimu kwenye tv. Mwalimu alikuwa anajali zaidi kuchapa kazi na kuwatumikia watanzania, sio kama hawa wasanii wenu wanaopenda kuuza sura lakini utendaji na uwajibikaji ni sifuri!!
sasa yeye serikali yake ilikuwa inafanya nini kukusanya kodi tu na kuzi-misallocate sio? na kama hata kuzitaifisha then angeweka fixed time yaani nataifisha kwa miaka 10 ili baba zetu wasome halafu azirudishe kwa wamiliki wake? ama that doesnt make sense to you? mbona mpaka leo nyingi bado zipo chini ya serikali? na zinaoza hazina uangalizi mzuri? ukweli huyu jamaa alipenda shortcuts hata vijiji vya ujamaa ilikuwa ni flawed concept yaani kumtoa mtu kwenye shamba lake la mamia ya hectares kumpeleka kwenye kajishamba cha hecta mbili ili mradi tu uweze kumletea huduma ambazo afterall hazikufika! ukisahau uzalishaji utapungua vp? hivi economist wake alikuwa nani?
The Boss,kuna story ameandika edwin mtei
kwenye kitabu chake ukiisoma
na ukisikia uvumi kuwa alikuwa na matatizo ya kama ugonjwa hivi wa mentall hivi unaweza connect the dots
mfano nyerere alikuwa impulsive sana
analipuka lipuka mno....
kwenye kitabu mtei anasema aliwapeleka wazungu wa imf ikulu,
nyerere badala hata ya kuwasikilza na kukataa,akasusa kuonana nao.
wakati mwanzo alikubali waje ikulu.
yaani aibu tupu,mtei akamkuta nyerere yuko nje ya ikulu kanuna hataki hata kuongea...
na ukichanganya na jinsi zoezi la vijiji vya ujamaa lilivyopelekwa
yaani watu walihamishwa wakapelekwa kwenye mapori waanzishe hivyo vijiji wengine wakaliwa na simba
na ukiangalia mfano sera yake ya marufuku magari,ni baiskeli tu
unaweza ona
Okay wahaya na wachagga walikuwa ndio wasomi kwahiyo aliwapa uongozi wa chini sio urais (as you know someone has got to be a leader) lakini baadhi yao walikuwa na different opinions kuhusu kuiendesha nchi.
Now this was mapungufu ya Nyerere "it was either his way or the highway".. kwahiyo hao viongozi wengine kina Kambona (wahaya) walitaka kumpindua so akawapotezea..., alafu hawa wasomi wangekuwa wanambishia while he wanted people to agree with him (another bad side ya Mwalimu), so kina Kawawa the Yes man ndio walikuwa perfect for his team.., after all ukiwa kwenye Jahazi unahitaji watu wanaokusikiliza especially on those days...
Lakini all in all he was a good leader na Mzalendo wa Kweli
Ukweli ni kwamba its easy kuwatawala watu wajinga kuliko werevu, angeruhusu challenge kipindi hicho ingekuwa kama familia ambayo baba mama na watoto wote wana masharubu, mpaka leo nchi kama China na nchi nyingi tu bado zinazuia baadhi ya habari, and that was a critical time iliyoitaji dictatorship, ili tuweze kusonga mbele..., I'm not saying kwamba aliyoyafanya ni mazuri lakini alikuwa tayari kutumia mbinu zote kufika anapotaka...,mbona internet ina porno kuliko chombo chochote?
je ipigwe marufuku???????/
angekuwepo nyerere hata jamiiforums isingekuwepo
wewe una matatizo ya kuelewa
sasa ntajaribu tena kukuelewesha labda itasaidia....
hakuna sehemu niliposema nyerere alikuwa hafai kuongoza
au alikuwa mtu mbaya sana
yaani nyerere mawazo yake yalikuwa finyu mpaka na yeye yamem cost
Jitihada za Kupinduliwa kwa Nyerere hazihusiani na kuchukiwa, bali ni COLD WAR na kipindi kigumu kimaisha tulichokuwa tunapitia wakati ule. Rejea Speech ya Nyerere kwa bunge la South Africa 1997 (kuhusu cold war na kupinduliwa kwa viongozi wa Africa) na pia kitabu cha Ludovick Mwijage ("The dark side of Nyerere legacy). Cold war imeisha na Viongozi waliofuatia hawana influence ktk siasa za kimataifa (Africa) kama Nyerere na harakati za ukombozi kusini mwa Africa, so they are not a threat to anyone- kwanini wapinduliwe?Kwanza unakosea unaposema watu wengi walimpenda sana. Naomba kukufahamisha kuwa mimi nilikuwepo kabla, alipokuwepo, na baada yake. Nyerere hakupendwa na wengi kama unavyotakiwa kufikiria, Nyerere alilazimisha kupendwa, ukionesha kumpinga unapotezwa au unaswekwa ndani. Nyerere kisha koswa kupinduliwa mara nyingi tu kuliko Rais mwingine yoyote wa Tanzania.Mengine hayo utajaza mwenyewe.
Hee babu lile, waislaam kawanyanyasa sana, kumbe hata makabila mengine alikuwa anayanyanyasa? ndio maana ile hotuba yake moja anawasannif wakara? mungu amuweke anapostahili.
Have you finished with Geza Ulole?Nyerere was a super destroyer, he had what, in myths, they call the "midas touch" what he touched turned into stone. Nyerere was scared of everything big, may it be a big tribe or any other major ethnic. Similarly Islam, you can never talk about ethnic descrimination without touching major religious ethnics. Islam being a major religion at the time, nyerere never was ashamed of clipping its wings. By the way, why discuss about unions if you are discussing tribes?Faiza welcome back baby!!you know some of us loves you much. You must relook at your attitude when discussing issues of public interest.Why associating each and everything with islam?? why always discussing issues with an islamic eyes??Come on Faiza try to be realistic. Angalizo: usinishangae kwa kidhungu changu cha kayumba school!!!
Naona unajaribu kukimbia kivuli chako mwenyewe, vinginevyo wewe ndo una matatizo ya kuelewa ama la hata unachokitetea hukijui.
Angalia utumbo ulioandika dhidi ya mwalimu Nyerere!!!
Kila aliempinga alionja joto yajiwe
waulize kina bibi titi,kambona,edwin mtei na wengine weengi
Hivi nchi ndo punde tu imepata uhuru, ilikuwa na vyanzo vingapi vya mapato ambavyo vingeiwezesha serkali kutekeleza mahitaji ya watanzania kwa mara moja?? Kulikuwa na wafanyakazi wangapi ambao wangelipa kodi na kuiongezea seriali kipato?
Unafahamu fika kwamba kipindi cha utawala wa mwalimu ndicho kipindi pekee katika historia ya marais wa nchi hii ambapo fedha ya serikali ilikuwa haiwezi kuchezewa kirahisi rahisi kama tunavyoshuhudia wakati huu wa ufisadi na mikataba feki.
Kwa kuzingatia kwamba nchi imepata uhuru huku ikiwa na wasomi wachache sana kiasi kwamba ilibidi kuagiza nguvukazi kutoka nje ya nchi ilikuwa ni jambo la busara mno kutaifisha shule za kidini zilizokuwepo ili kujenga taifa la watu wa aina moja. Vinginevyo watu wa aina fulani ndio wangeendelea kupata elimu wakati wenzao wakiangalia.
Kwa kuzingatia kwamba pamoja na kutaifisha shule za dini na mashirika mbali walionufaika ni watanzania wote pasipo kujali rangi zao, dini zao, kabila zao na maeneo yao ya kuzaliwa basi jambo hilo haliwezi kutajwa kama kuliwarudisha nyuma kimaendeleo vinginevyo hata mimi huenda ningekuwa sasahivi niko mugumu huko ninachunga ng'ombe na kulima mtama na muhogo, usingenikuta hapa jf, kwa hili mwalimu anastahili pongezi kubwa.
In privatising mission schools so everyone of whichever faith could study, wasn't that got for islam.., and there is no leader in the world who does not protect himself especially in those times just after independence it was easy to be toppled down.., you had to be afraid of even your own shadow.., if you have forgetten Kambona, Uncle Tom and others nearly succeded in putting him down... therefore the guy had many negatives but lets give credit when its due..., and lets not magnify the negatives by making a mountain from a mole hill.Similarly Islam, you can never talk about ethnic descrimination without touching major religious ethnics. Islam being a major religion at the time, nyerere never was ashamed of clipping its wings. By the way, why discuss about unions if you are discussing tribes?
Ukweli ni kwamba its easy kuwatawala watu wajinga kuliko werevu, angeruhusu challenge kipindi hicho ingekuwa kama familia ambayo baba mama na watoto wote wana masharubu, mpaka leo nchi kama China na nchi nyingi tu bado zinazuia baadhi ya habari, and that was a critical time iliyoitaji dictatorship, ili tuweze kusonga mbele..., I'm not saying kwamba aliyoyafanya ni mazuri lakini alikuwa tayari kutumia mbinu zote kufika anapotaka...,
Na angeruhusu to be questioned sidhani kama tungefika popote...., am a great believer kwamba kuna nchi nyingine ukizipa demokrasia mambo hayaendi.... A good example is Iraq and Saddam... jamaa ingawa alikuwa anawapelekesha lakini ilikuwa bora kuliko what is happening now where there is a power vacuum which am sure it might happen to Libya as well.
Bibi Titi hakumpinga Mwalimu, bali alikuwamo ktk mpango wa kumpindua, na kumpindua Rais ni uhaini. Kitu kizuri ni kwamba hawakunyongwa, hata bibi titi alisamehewa baada ya kutumikia kifungo kwa muda.
kama alishindwa kufanya hivyo then kwanini aliomba uhuru maana that means hakuweza ku-meet expectations! au kwanini asi-resign, he wasnt a hard worker basi kushindwa kujenga hata shule kuwezesha kila Mtanzania kusoma bali kutaifisha zilizopo maana nathani immediately baada ya kupata uhuru alitoa national deveolopment plan kama aliyotoa Kikwete hapo juzi! akisema anatarajia kufanya nini katika miaka kumi!
Have you finished with Geza Ulole?Nyerere was a super destroyer, he had what, in myths, they call the "midas touch" what he touched turned into stone. Nyerere was scared of everything big, may it be a big tribe or any other major ethnic. Similarly Islam, you can never talk about ethnic descrimination without touching major religious ethnics. Islam being a major religion at the time, nyerere never was ashamed of clipping its wings. By the way, why discuss about unions if you are discussing tribes?
mere excuses, tume-fail kwa ville tumekuwa na watawala wanaoturudisha nyuma kwa maslahi yao binafsi ya kuendelea kuwa madarakani not visionary! katika Watanzania, wapo ambao walijitahidi kutumikia taifa hili kama wale waliojiweka kwenye ushirika na kulipa kodi na kuliletea taifa hili fedha za kigeni! Je Nyerere aliwasaidia vp? au aliwafanya nini? nathani unajua aliwaona threat na aliwakandamiza na kuwalazimisha through dictated economy kuwa kama wale waliolala badala ya kuwaamsha wale walio usingizini kuwa kama wale walio macho! fikra za kijamaa zili-police hata kile kilichokuwa na manufaa kwa jamii kiujumla na kuua hata that goose that lays egg!Binadamu kwanza anatambaa kabla hajaweza kukimbia..., we had to start from somewhere, na mtu mmoja hawezi akafanya all the changes, especially the Ujamaa policy being flawed. Angalia sasa miaka 50 baada ya uhuru ni kipi tumekifanya..??, maybe its time tuanze kujiangalia na sisi wenyewe labda kuna something seriously wrong in our heads..., kama sisi tumeshindwa na tuna wasomi na kukusanya kodi nyingi na tunajipongeza, sidhani kama itakuwa bora kumsingizia Nyerere kwamba hakuna alichokifanya.... After all mwenyewe alisema kuna mengi mazuri na mabaya mengi tumeyafanya.., kwahiyo tuyaache mabaya na kuendeleza mazuri, lakini it seems we are going the opposite way.