Kwa jinsi nchi ilivyochakachuliwa... nyerere akifufuka leo atakufa tena kwa presha!!! boa aje 2016:doh:
Kwa jinsi nchi ilivyochakachuliwa... nyerere akifufuka leo atakufa tena kwa presha!!! boa aje 2016:doh:
Very right smiles....Kwa kweli bora asije now...maana nguvu zote alizotumia kuikomboa Tanzania/Tanganyika, afu leo aje aone jinsi inavyoteketea....lazima atakufa at an instant!!
Kwa kweli bora asije now...maana nguvu zote alizotumia kuikomboa Tanzania/Tanganyika, afu leo aje aone jinsi inavyoteketea....lazima atakufa at an instant!!
kweli cousinMimi naona tumetengeza zege nzuri ya kokoto kwa ajili ya 2015:yield::yield::yield:
kweli cousin
I can not vote for president who doesnt know why his country is poor
Very right smiles....
Yani sasa unakuta vitoto vimekwapua pesa ya kampeni in the name of IT vikiasidiwa na mtoto wa baba mwenye nyumba wakati mahospitali na mashule yamedoda
bora asije, maana ataibua magonjwa ambyo wala hakua nayo
Na kweli kwa kuwa by the time anarudi akaangalia jinsi uchakachuaji ulivyofanyika hadi mahala ambapo yeye alikuwa anapaita "PATAKATIFU" leo hii pamekuwa genge la mafisadi naona bora asubiri hadi 2015 chi chi chi chi chi chi chi chi:rip::rip::rip:
Mi naskia hasira yaani
2015 CCM hawana chako si ubunge ,si madiwani na Urais pia chama cha ukombozi kitakamata hatamu kwa kasi ya ajabu