Mwalimu Nyerere akifufuka leo atasemaje? Ahadi imetimia

We can

JF-Expert Member
Sep 4, 2010
678
47
Alisema
-SISIEM ni ya Wakulima na Wafanyakazi, je, leo?
-Sitatoa wala sitapokea Rushwa?
-Kipimo cha Uongozi si fedha zake, je leo?, NK
-Walipofumba macho na kumdharau akasema, "Sisiem SI MAMA YANGU..." Hawakumsikia,
-Akaongeza: UPINZANI WA KWELI UTATOKEA NDANI YA SISIEM...:A S-baby:NIISHIE HAPO
 
Vicent Nyerere ametangazwa na mr.MSHANA msimamizi wa uchaguzi Musoma. Kapata 56% Nyerere afufuka,aleluyah!
 
Atasema hivi, "Haya ndiyo matokeo ya kuwadharau wananchi, kuwakejeli, kulewa madaraka na kujaa kiburi cha madaraka. Mimi nimeyafurahia sana matokeo haya na nawapongeza sana Watanzania wenzangu kwa maamuzi mazuri waliyoyafanya katika uchaguzi huu wa 2010.":peace::peace::peace:
 
Kwa jinsi nchi ilivyochakachuliwa... nyerere akifufuka leo atakufa tena kwa presha!!! boa aje 2016:doh:
 
Kwa jinsi nchi ilivyochakachuliwa... nyerere akifufuka leo atakufa tena kwa presha!!! boa aje 2016:doh:

Kwa kweli bora asije now...maana nguvu zote alizotumia kuikomboa Tanzania/Tanganyika, afu leo aje aone jinsi inavyoteketea....lazima atakufa at an instant!!
 
Kwa jinsi nchi ilivyochakachuliwa... nyerere akifufuka leo atakufa tena kwa presha!!! boa aje 2016:doh:

Mimi naona tumetengeza zege nzuri ya kokoto kwa ajili ya 2015:yield::yield::yield:
 
Kwa kweli bora asije now...maana nguvu zote alizotumia kuikomboa Tanzania/Tanganyika, afu leo aje aone jinsi inavyoteketea....lazima atakufa at an instant!!
Very right smiles....

Yani sasa unakuta vitoto vimekwapua pesa ya kampeni in the name of IT vikiasidiwa na mtoto wa baba mwenye nyumba wakati mahospitali na mashule yamedoda

bora asije, maana ataibua magonjwa ambyo wala hakua nayo
 
Kwa kweli bora asije now...maana nguvu zote alizotumia kuikomboa Tanzania/Tanganyika, afu leo aje aone jinsi inavyoteketea....lazima atakufa at an instant!!

Na kweli kwa kuwa by the time anarudi akaangalia jinsi uchakachuaji ulivyofanyika hadi mahala ambapo yeye alikuwa anapaita "PATAKATIFU" leo hii pamekuwa genge la mafisadi naona bora asubiri hadi 2015 chi chi chi chi chi chi chi chi:rip::rip::rip:
 
Very right smiles....

Yani sasa unakuta vitoto vimekwapua pesa ya kampeni in the name of IT vikiasidiwa na mtoto wa baba mwenye nyumba wakati mahospitali na mashule yamedoda

bora asije, maana ataibua magonjwa ambyo wala hakua nayo

Ah ni aibu kwanza! mimi i wont even want to see the terror look on his face
it would be like an insult to him....that all his hard work was for nothing!:mad2:
angejitokeza hapa sijui watu wataingia chini ya meza...
na hapo make no mistake....akisema akatembelee tuu ofisi za wakubwa wetu ndio atazimia kabisa...
"utendaji wa kazi mbovu...yet wanakula raha!" Isnt the world a beautiful place...........:mad2:
 
Na kweli kwa kuwa by the time anarudi akaangalia jinsi uchakachuaji ulivyofanyika hadi mahala ambapo yeye alikuwa anapaita "PATAKATIFU" leo hii pamekuwa genge la mafisadi naona bora asubiri hadi 2015 chi chi chi chi chi chi chi chi:rip::rip::rip:

Mi naskia hasira yaani
 
2015 CCM hawana chako si ubunge ,si madiwani na Urais pia chama cha ukombozi kitakamata hatamu kwa kasi ya ajabu
 
Mi naskia hasira yaani

Kwa sasa nina furah kwa kuwa kura niliyopiga imeleta mabadiliko pia huo ni mwanzo mzuri kuelekea 2015, CCM walikuwa hawajui kusoma alama za nyakati wanafikiri watanzania ni vilaza wao
 
attachment.php

Ingetokea BABA WA TAIFA MWL.JK NYERERE akafufuka leo basi angefanya maajabu kwani angetembeza fimbo kuanzia ikulu hadi bungeni kutokana na utendaji mbovu wa serikali ya chama cha mapinduzi na si hilo tu la uongozi bali hata mwelekeo wa tanzania ungemfanya apate hasira na kutembeza fimbo tena hadharani.Mwanafalsafa huyu alipigania nchi hii tena ikiwa na wasomi wachache lakini ndiye rais pekee aliyekuwa na mafanikio zaidi.Hakujilimbikizia mali wala pesa na wala hakuna mtoto wake aliyediriki kufanya hivyo, lakini haya ya kina mjomba tunayaona mali na pesa ni zao.mzee huyu alikemea rushwa hadharani bila kuogopa mtu akakazia siasa za kujitegemea na kuanzisha viwanda vya ndani, kwa wale tulio na umri sawa matakumbuka polister (kaunguza) iliyokuwa inatengenezwa morogoro.raba na viatu vya boro,msaragambo na mshikamano vijij vya ujamaa na mengine mengi. ila leo hii rushwa iko mbele viongozi wana vijiji vyamashamba majumba na magari ya kifahari siasa za kimangimeza na wanturudisha kwenye ukoloni ambao mwalimu aliupiga vita. wabunge hawawajibiki majimboni mwao wanaishi mjini bila kujua nini matatizo ya wanajimbo! asilimia 80 ya pesa za tanzania iko mikononi mwa watu wasiozidi 50. Dola inapanda kila leo,aaaaaaaaaa shida tupu.
 
yaani ingekuwa balaa,sijui kama kuna inji iloboronga kiivi? kila aingiaye madarakaniahujifanya
mnyenyekevu tena mpole wa roho,mtoto wa mkulima.wakimaliza 10years hawataki hata kusikika wapo
busy kutafuna hela zetu walahiii nabata ushungu mie!!!!!!!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom