Mwalimu Mkuu amnyonga mtoto wake na kisha kujinyonga

Mwalimu Mkuu amnyonga mtoto wake na kisha kujinyonga

mmy

Member
Joined
Sep 27, 2014
Posts
55
Reaction score
12
Mwalimu Lucas Masudi wa shule ya Msingi Chipitu Wilayani Newala Mkoani Mtwara amemnyonga mwanae na kisha kujinyonga na yeye.

Inasemekana ni hasira za mapenzi baina yake na mkewe ambae ni askari magereza Wilaya ya Liwale Mkoani Lindi.

Mwalimu mkuu wa shule ya msingi Mnaida, ndugu Lucas iliyoko Wilaya ya Newala Mkoani Mtwara amejinyonga hadi kufa.

Inasemekana kabla ya kujinyonga yeye alimnyonga kwanza mwanae wa kiume anaesoma darasa la tano halafu akajimaliza yeye.

Chanzo cha kufanya hivyo ni wivu wa mapenzi.

Miaka ya nyuma kidogo mwalimu huyo alimpa mimba binti aliyekuwa mwanafunzi ambae alimzalia mtoto huyo, baada ya kitendo hicho alimrudisha binti huyo shule akamsomesha yeye kuanzia form one hadi chuo, baadae mke wake huyo alipata kazi kama askari upelelezi, hapo ndo matatizo yalipoanzia.

Mwanamke alianza visa vya kumjengea mazingira ya kuachana nae, ikafika mahali kwa wenzake anamtambulisha kama kaka yake ili asijulikane kama ni mke wa mtu mbaya zaidi mke wake huyo alianza kumdai jamaa aseme ni kiasi gani cha fedha alizitumia kwa ajili yake ili amlipe.

Ndipo mwalimu huyo alipofikia uamuzi wa kujinyonga

Sababu za kumnyonga na mtoto kwa taarifa za watu wa pembeni ni kujenga mazingira ya kumuumiza mke wake huyo kwani kifo chake kisingeweza kumgusa kabisa huyo mke wake.

Inauma sana ila there is no way, kila dada kwa nini mnakuwa vyanzo vya matatizo? hapa simaanishi wote ila asilimia kubwa yenu huwa mkiwa na maisha duni mnakuwa wanyonge ila wanaume zenu wakijitolea mkafikishwa mlipokuwa mnapataka mnakuwa miiba.

Serious imeniuma but SINA MAANA KUWA WANAUME NI WAZURI AU WANAOFANYA HIVI NI WANAWAKE WOTE.

BUT MOST OF WOMEN MNABADILIKA SANA.



 
Anajinyonga kwa kitu ambacho hakienei kwenye kisahani cha chai ???? Si angekuja Dar akachukua hata watatu kama mwenzake anao mpango wa kando ? Sasa ndio mwizi ataikanyaka kama vile haina mwenyewe.

HASIRA HASARA
 
Dhambi juu ya dhambi roho yake itageuka kuwa kinyamkera kinachotangatanga
 
Dhambi juu ya dhambi roho yake itageuka kuwa kinyamkera kinachotangatanga

Mkuu., anayekufa ki halali kwa mda wake hajadhulumiwa.hatangi tangi anangoja hukumu yake .wakutanga tanga ni wale wanakufa au kuuliwa kimazingara.a.k.a.misukule.! Au.! ?
 
jamaa alimsomesha binti mpaka akapata kazi,baadae akazaa nae mtoto huyo ila baada ya muda jamaa akazidiwa na wenyenazo akatemwa,
 
Mkuu., anayekufa ki halali kwa mda wake hajadhulumiwa.hatangi tangi anangoja hukumu yake .wakutanga tanga ni wale wanakufa au kuuliwa kimazingara.a.k.a.misukule.! Au.! ?

Sawa kabisa
 
Shetani amemaliza kazi yake,tumtegemee Mungu kwa kila jambo kwani kwa nguvu zetu wenyewe kumshinda shetani ni ngumu sana.
 
Pumbavu kabisa ndio mwalimu kweli huyo hapo ametufunza nini?
 
Usaliti kwny mapenzi siku hizi imekuwa kitu cha kawaida kabisa, lakini jamaa kunyonga mtoto asie na hatia ni kosa sana
 
Masikini...sasa si angejinyonga mwenyewe aache mtoto?
Amekatili maisha ya mtoto.Mungu pokea roho ya mtoto...amen
 
Huu upuuzi mwingine.mtu Kama unataka kufa jinyonge mwenyewe wengine bado wanataka kuishi.eboo
 
Mkuu., anayekufa ki halali kwa mda wake hajadhulumiwa.hatangi tangi anangoja hukumu yake .wakutanga tanga ni wale wanakufa au kuuliwa kimazingara.a.k.a.misukule.! Au.! ?

Sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom