Mwalimu Mkuu amnyonga mtoto wake na kisha kujinyonga

Mwalimu Mkuu amnyonga mtoto wake na kisha kujinyonga

jamaa alimsomesha binti mpaka akapata kazi,baadae akazaa nae mtoto huyo ila baada ya muda jamaa akazidiwa na wenyenazo akatemwa,
Mimi kwenye habari hii nilielewa kwamba marehemu alizaa na huyo dada kipindi huyo dada ni mwanafunzi.Baada ya kuzaa marehemu akachukua jukumu la kumsomesha huyo dada mpaka ngazi ya chuo.Dada kuona kafika matawi ya juu akaanza kumtemea mate kutoka huko juu!

Nawaasa vijana wa kiume wenye wapenzi: Usimsomeshe mpenzi, somesha mkeo au nduguyo tuuu!
 
yaani hapo anakuw ajamkomoa kitu ndokwanza anaonekana mpyaa! hana moto wala mume soko limepanda
 
Kuliko amnyonge na kujinyonga, angeoa mke mwingine, akaendelea na maisha! Maisha yangu matamu Lol
 
mmy

Hakujua kwamba mchumba hasomeshwi!Inasikitisha!
 
Last edited by a moderator:
Mlishaambiwa msisomeshe wapenzi (Girlfriends) bali msomeshe wake ninyi hamtaki.

hayaelewekagi haya ma watu, hata jimke laweza change.

Cha msingi ni kusahau na kusonga mbele, kwa nini usababishe umauti.
 
Unasomesha mke, we umekuwa baba? Wajibu wa kusomesha ni wa baba! Mke lazma atatafuta mme, maana we umekuwa baba wa kufikia.MARUFUKU KUSOMESHA MKE/MME!
 
Mwalimu Lucas Masudi wa shule ya Msingi Chipitu Wilayani Newala Mkoani Mtwara amemnyonga mwanae na kisha kujinyonga na yeye.

Inasemekana ni hasira za mapenzi baina yake na mkewe ambae ni askari magereza Wilaya ya Liwale Mkoani Lindi.






MAPENZI haya ni mchawi wa maisha
 
Haya mambo tulizoea yanatokea mkoa fulani hivi, kumbe hata wamakonde wanajinyonga? au mwalimu huyu hakuwa mmakonde katoka pande zile? Any way sometimes tuangalie professional tulizonazo na kuwasomesha wake zetu fani zipi, kwani jamaa aliweza kuvumilia demu wake alivyokuwa depo leo anaua mtoto kwa msingi gani? au ualimu aliurithi? yaani cpati picha kabisa, ila Kile kilichompata hakikuwa ni chenye kumkosa na kile kilichomkosa hakikuwa ni chenye kumpata.
 
Wanawake/ Wasichana ni viumbe vya pekee sana maana akili zao ni nyepesi mno na rahisi kusahau walikotoka pamoja na kutokueleweka
 
Usikatae hayajakukuta...
Kabla hujafa... Hujaumbika.

Kuibiwa... Sikia kwa mwenzako tu..!
 
jamani...inabidi na wanaume tuache hizi huruma za kusomesha wanawake...wacha wajisomeshe wenyewe na wazazi wao sisi tuchukue kitu kilichokuwa tayari!

Unaanza kuchukua risky ya kumsomesha mwanamke umekua mzazi wake?
Mapenzi hayana guarantee, nimecheka sana ulivosema ivo hapo!
 
Siwezi kuitoa roho yangu kwa sababu zozote zile, nitasubiri siku ambayo.Mungu ameikusudia, na yeyote atayetaka sumbua maisha yangu au kutumia nguvu zake za kipesa, kiroho au ki whatever kusababisha kifo changu au kuniua basi atakiona.

Utamzukia au sio?
 
aiseee inauma sana, nilithamini maisha yako, na bodaboda nilijua kosa langu, nikaamua kukusomesha ili tusaidiane maisha , inakuwaje leo uniulize ni ni sh.ngapi umetumia? kama sio matusi ni nn?

Ndio ujiue??
 
Back
Top Bottom