Sasa nimeelewa kwa nini kule Ngara-Kagera jamii ya kabila la Wahangaza wanapiga viboko na fimbo za kufa mtu kwa mtu aliyejinyonga!
Upuuzi ulioje kwa mwalim huyo,bora tu maiti yake ipigwe mpaka ikome.
jamaa alimsomesha binti mpaka akapata kazi,baadae akazaa nae mtoto huyo ila baada ya muda jamaa akazidiwa na wenyenazo akatemwa,
Pumbavu kabisa ndio mwalimu kweli huyo hapo ametufunza nini?
Sasa nimeelewa kwa nini kule Ngara-Kagera jamii ya kabila la Wahangaza wanapiga viboko na fimbo za kufa mtu kwa mtu aliyejinyonga!
Upuuzi ulioje kwa mwalim huyo,bora tu maiti yake ipigwe mpaka ikome.
jeuri ya elimu aliyopewa na mkuu wa shule.Mi maoni yangu ni kuwa huyo mwanamke hakuwa na mapenzi na mumewe bali alilazimika kuolewa naye baada ya kutiwa mimba na kusomeshwa. Ushauri kwa wanaume ni kuwa msiwarubuni mabinti wadogo wanaosoma kwani kwa kipindi hicho akili zao zinakuwa bado hazijapevuka vya kutosha kufanya maamuzi sahihi ndio maana mara tu wanapokuwa wamekua na kupevuka akili wanagundua kuwa huyo mwanaume hakuwa chaguo.
Sahihi kabisa