Mwalimu Mkuu amnyonga mtoto wake na kisha kujinyonga

Mwalimu Mkuu amnyonga mtoto wake na kisha kujinyonga

Mwalimu Lucas Masudi wa shule ya Msingi Chipitu Wilayani Newala Mkoani Mtwara amemnyonga mwanae na kisha kujinyonga na yeye.

Inasemekana ni hasira za mapenzi baina yake na mkewe ambae ni askari magereza Wilaya ya Liwale Mkoani Lind

Laana kubwa imebaki kwa huyo mwanamke, Mungu atupe uwezo wa kuyapita majaribu. amina
 
Laana kubwa imebaki kwa huyo mwanamke tuombe tu Mungu atupe uwezo wa kuyakabili matatizo
 
Huwenda jamaa alizipata kuwa mtoto nae siwake..
 
mwalimu majanga alivyokuwa anamsomesha alizani ni ndugu yake .wengi sana waliowasomesha wanawake huwa wanaishia kulia machozi.
 
angemnyonga huyo aaskari na kujinyonga yeye mwenyewe, kamuonea mtoto bure
 
hayaelewekagi haya ma watu, hata jimke laweza change.

Cha msingi ni kusahau na kusonga mbele, kwa nini usababishe umauti.

Ha ha ha!! Bora mke tena kama mmefunga ndoa ya kidini na sio bomani.Girlfriend ni girlfriend tu,hana machungu na wewe.Tena hawa wa siku hizi wezi kabisa.
 
Duh inahuzunisha sana mapenzi ni utumwa
 
Hasira zake yeye na mkewe anazipeleka kwa mtoto asiye na hatia hata kidogo.. So sad
 
Ha ha ha!! Bora mke tena kama mmefunga ndoa ya kidini na sio bomani.Girlfriend ni girlfriend tu,hana machungu na wewe.Tena hawa wa siku hizi wezi kabisa.

hakuna cha girlfriend, mchumba, mke wa kufungia ndoa bomani, kanisani wala msikitini... MWANAMKE HASOMESHWI... ASIPOSOMESHWA NA BABA YAKE BASIIIII.... NITAMPENDA HIVYO HIVYO, SIOI ILI NIJE NISOMESHE
 
Mwenyezi Mungu ampumzishe mahali pema mtoto.

hakuna imani ya ndini yoyote inayosema mtu akijinyoga Mungu anahusika..hapo kama jehanamu ipo huyo ni alali yake..
 
hakuna imani ya ndini yoyote inayosema mtu akijinyoga Mungu anahusika..hapo kama jehanamu ipo huyo ni alali yake..

soma kwa umakini nilichoandika, usijibu kwa kudhani yaliyomo moyoni mwako.
 
hakuna cha girlfriend, mchumba, mke wa kufungia ndoa bomani, kanisani wala msikitini... MWANAMKE HASOMESHWI... ASIPOSOMESHWA NA BABA YAKE BASIIIII.... NITAMPENDA HIVYO HIVYO, SIOI ILI NIJE NISOMESHE
Ha ha ha ha!! Hatari mkuu,nakumbuka hata chuo nimesoma na wamama wana ndoa zao lakini tulikuwa tukiwagonga mbaya.Wakikutana na vijana nao wanakuwa vijana,ndoa wanatupa kule.
 
Wakati wa.matatizo yanayosumbua akili na nafsi zetu ni vema kumshirikisha kwanza Mungu,maana watu walio wengi wakati wa matatizo ndiyo hujitenga kabisa na Mungu hata kukumbuka sala hawakumbuki,hapo ndipo Shetani hujiinua na kufanya ya kwake,mwisho wa siku mtu anaishia kufanya maamuzi mabaya,kumbe ukimtanguliza Mungu yeye hufanya njia pasipokuwa na njia;Mtaalamu mmoja aliwahi kusema kuwa Pale akili na mawazo yetu yanapoishia ktk kufikiri ndiyo Mwanzo wa Mawazo ya Mungu.
 
Back
Top Bottom