Anambeep kivipi?Yupo bar na mwanafunzi wake wa kidato cha tatu, Kibo pub - Igunga , anafundisha nguvu moja sec - Igunga View attachment 370768View attachment 370769View attachment 370770
siku gani wapi au unataka mtu afukuzwe kazi tuTangu saa 5 asubuh wanakula mvinyo
acha unafiki na roho mbaya mkuu,asa wewe inakuhusu nini?Yupo bar na mwanafunzi wake wa kidato cha tatu, Kibo pub - Igunga , anafundisha nguvu moja sec - Igunga View attachment 370768View attachment 370769View attachment 370770
unaweza kuthibitisha hiki unachesema sie tutajuaje kama ni mwalimu na mwanafunzi wake na ni mwalimu wa wapi ni siku gani ?We unaona sahihi mwalimu kukaa na wanafunzi wake wa kike bar mda huu, siku ya kazi , wanapiga mvinyo
Hata kuandika kwenyewe hujui,Yupo bar na mwanafunzi wake wa kidato cha tatu, Kibo pub - Igunga , anafundisha nguvu moja sec - Igunga View attachment 370768View attachment 370769View attachment 370770
Yupo bar na mwanafunzi wake wa kidato cha tatu, Kibo pub - Igunga , anafundisha nguvu moja sec - Igunga View attachment 370768View attachment 370769View attachment 370770
Sasa hapo mwanafunzi wa kidato cha tatu ni yupi? Aliesimama au aliekaa?? Maana wote wanaonekana kuwa ni watu wazimaYupo bar na mwanafunzi wake wa kidato cha tatu, Kibo pub - Igunga , anafundisha nguvu moja sec - Igunga View attachment 370768View attachment 370769View attachment 370770
Je ulimwambia hayo yote huyo Mwalimu? hata hivyo wengi hapa JF hatumfahamu, pengine hata si mwalimuWe unaona sahihi mwalimu kukaa na wanafunzi wake wa kike bar mda huu, siku ya kazi , wanapiga mvinyo